Wapi nitaweza kupata sehemu ya ku_publish kitabu changu cha ujasilia mali.

NAXFRA

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
388
225
Nawasalimu kwa jina la mwenyezi Mungu, nikitumaini mu_wazima wenye siha njema. Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kufahamu wapi wanapo 'publish' vitabu popote kwa mikoa ya Mwanza, Dar, Arusha na Dodoma, anijuze kwani ninalengo la kutoa kitabu cha ujasiliamali ambacho kitakuwa na msaada mkubwa sana kwa wanafunzi wanaosoma masomo yanayoendana na ujasiliamali, biashara, utawala, mipango, pamoja na wajasilia mali wote wa huduma, biashara na uzalishaji. Kitabu hiki kwa hatua za awali shakichapa, bado tu sehemu ya content, cover page, aknowlegment, mchoro mmoja na reference. Kitabu hiki kitakuwa katika lugha ya kingereza na badae kitakuwa katika fasiri ya lugha ya kiswahili. Samahani kwa kutozingatia uandishi kwani nimetumia simu ya mkononi. Wiwa kunisaidia kwa mawasiliano yafuatayo: naxfra@yahoo.com au naxfra@gmail.com au hapa hapa jf. MBARIKIWE SANA MTAKAOCHANGIA HAJA NA MADA HII, AIDHA HASI AU CHANYA KWANI YOTE NI MAWAZO NA NAAHIDI KUYAPOKEA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom