Msaada wa mtandao upi unatoa huduma bora

Ngamba

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
748
148
Nigependa kujua ni mtanda upi I.e tigo-pesa, airtel-pesa, vodacom-mpesa etc unatao huduma bora kama vile kuunganisha bank account and account yako ya simu kama nilivyoeleza hapo juu
 
Sasa matusi ya nini , haina haja kutukana bila kukukosea

Anyways thanks
 
Nigependa kujua ni mtanda upi I.e tigo-pesa, airtel-pesa, vodacom-mpesa etc unatao huduma bora kama vile kuunganisha bank account and account yako ya simu kama nilivyoeleza hapo juu
  • Natumia hii mitandao miwili -> Tigo Pesa na Mpesa
  • Mpesa - Kwa sasa fedha huchelewa kuingia katika account unapotuma inabidi usubiri kwa dk 5 hadi 45 inategemeana ni wakati gani wa siku.
    • Wanamakato utumapo fedha benki
    • Ila upande wa MPESA customer care wako safi kwa huduma.
  • Tigo Pesa - Hakuna kuchelewa kwa fedha kuingi kwenye account yako.
    • Hakuna makato kutumafedha kwenye account yako ya benki
    • Sijawahi kupata tatizo lolote, hivyo sijui Tigo -Pesa upande wa customer care upo vipi
  • Kwa sasa ,Nikiambiwa nichague mtandao mmoja kati ya hii miwili - basi nitachagua Tigo Pesa
  • Haya ni maoni yangu kutokana na matumizi ya hizi huduma kwa muda mrefu - kuweka na kutoa fedha benki , au kutuma toka account moja kwenda nyengine, kupitia simu yangu.
 
Shukrani mkuu umenipa good info, nadhani itabidi nichague Tigo pesa
 
swali la mwisho

je Tigo pesa and Mpesa zinauwezo wa kupokea / kutoa pesa toka western union?

:israel:
 
Asante Mwl.RCT

Then im going to find a way to get vodacom line then nijirushe kama nipendavyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom