ndugu zangu nipo morogoro naitaji kufungua biashara ya kuuza kitimoto ningeomba wenye uzefu mnisaidie nijue mambo ya msingi yakuzingatia na kama kuna mtu wa morogoro mjin anisaidie jinsi ya kupata walipo kiraisi.thanks in advance
Nenda barabara ya Kilakala hapo wapo vijana kibao wafanya biashara hiyo, ama maeneo ya kwa Mzuanda barabara ya Iringa watakupa ushauri wa biashara hiyo, kama haitoshi nenda maeneo ya Bigwa kuna vijana watakushauri. Asante, kazi njema la maana zingatia mambo ya afya.