Naomba ushauri

Dec 19, 2013
7
0
Ndugu wanajf mwaka unatamatika.Natamani mwaka ujao niwe mjasria mali.wazo langu nikumiliki kampuni yangu ya uchapishaji wa vitabu.(publishing co.)NAOMBA USHAURI WA HATUA ZA KUFUATA ILI LENGO LANGU LITIMIE.
NB:Ningependa kufaham pia gharama zinazo hitajika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom