Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari zenu wanajukwaa. Naamini ni kwa rehema za Mungu kufika hapa hata pia kutupa akili na mtaji kidogo na kuwaza la kufanya. Nimenunua shamba Morogoro lisilopungua Hekari kumi ila naumiza kichwa...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wakuu,mimi nakaa hapa Moshi karibu na soko la mitumba memorial,nilikua nataka kuwa nanunu mitumba hapa napeleka Bariadi na shinyanga ila sasa sina uzoefu na.biashara hii Sasa naomba ushauri...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wakuu Mimi kijana mwenzenu katika harakati za maisha na kutafuta nilipata na kuumia sana hatimaye nikapata idea ya kibiashara cha mtaji mdogo,bimkubwa wangu alikua mtaalamu sana wa kupika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Nauza vifaranga chotara,umri wao ni miezi miwili,wana chanjo zote,wanapatikana mbezi luis,kimoja sh elfu 8.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
PUNGUZO KUBWA LA BEI YA MATREKTA YANAYOUZWA NA SUMA JKT - JANUARI 2012 Na TREKTA BEI YA ZAMANI Machi 2011 BEI MPYA Januari 2012 PUNGUZO % 1. Farmtrac 60(50 HP; 2wd)...
5 Reactions
22 Replies
24K Views
habari wanajf mimi ni kijana wa kike umri 23,elimu yangu kidato cha 4,,nimejitahid kufanya vibarua vya hapa na pale na kuweza kusave kiasi cha pesa cha tsh 200,000... kama swali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
NATAFUTA SOKO LA ASALI ya nyuki wakubwa kwa wadogo JIJINI DAR ES SALAAM NA MJINI MOROGORO. Kwa yeyote anayefahamu wanunuzi wa asali ktk miji hiyo naomba wanisaidia kujua ni nani wanunuzi na...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Je huduma ya M.pesa, Tigo pesa Airtel money hulpa kweli nisaidien mawazo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habar zenu wakuu, naombeni msaada plz, nakusudia kuanzisha mradi wa stationery sehem flan iv. Je unadhan ni mtaji kama wa kiasi gani unaweza kutosha kuanzisha biashara hiyo na angalau kuweza...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwenye makala iliyopita tulijifunza jinsi ya kujua faida halisi ya biashara yako. Na tuliona kwamba faida halisi sio mauzo kutoa manunuzi, bali unahitaji kuweka na gharama za biashara pia. Kama...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wadau wangu wapambanaji wa dhati wa kutaka kuuondoa umasikini kwa njia ya kujiajari kupitia kipawa na experience za watu. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sna wa mambo ya uwekezaji kupitia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wanaotaka mayai ya kwale bei imeshuka kutoka elufu kumi sasa elufu 8 tunapatikana Mbez mwisho Dar
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jioni, Nimepata mtaji wa TSH 2,000,000. nataka kufanya biashara ya kukopesha hapa mahala ni kijijini lakini si Sana na Kuna waajiliwa wengi WA sector mbali mbali wa Afya na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Utavipata tarehe 21 sept (mwezi huu). Mawasiliano na mengineyo: 0717221590 Bei: 1700 Tshs DSM
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Semina ya Ujasirimali mjini Mkoaranga tarehe 12/09/2015 Umesikia kuna wanaofanya biashara kubwa bila ya kuwa na mtaji wa kuanzia???? Sasa fursa hiyo imekufikia EWE MWANA MKOARANGA, DSM na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari! Tu vijana 15 tumeunda kikundi chetu chenye malengo chanya kiuchumi. Sasa nimekwenda bank kufungua akaunti yetu nimekutana na masharti tofauti kwa kikundi kilichasajiliwa na ambacho...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari nina eneo dogo nalikodisha kwa mtu anayetaka kufanya biashara yake hasa ya kufyatulia matofali au kuuza vitu au vifaa vya ujenzi liko mbagala mbande - chamanzi kama mtu anahitaji kukodi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini ndugu wanaJF wajasiriamali; Kuna sehemu nimeiona fursa ya biashara ya matunda na kiukweli nimeifanyia uchunguzi na kuona naweza kutokea hapo ningependa kufahamu yafuatayo kwa wazoefu wa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu, Nina biashara ya stationary kutoa copy na ku print. Kamtaji kangu bado ni ka sungura kadogo ila nahitaji kufika mahali. Naombeni msaada juu ya mbinu za kuboresha ili nami niweze...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habar wanaJF kwa yeyote mwenye uzoefu juu ya soko la hisa please share kwa mfano nataka kununua hisa kwenye kampuni flani, ntapaje faida? na je kampuni ikifilisika haki yangu ikoje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom