Biashara ya matunda

kiranja jona

Member
Jun 5, 2014
16
20
Habarini ndugu wanaJF wajasiriamali;

Kuna sehemu nimeiona fursa ya biashara ya matunda na kiukweli nimeifanyia uchunguzi na kuona naweza kutokea hapo ningependa kufahamu yafuatayo kwa wazoefu wa biashara hii hasa katika mawazo;

1: Naweza kutumia frem (duka)kma sehm y kuuzia na inatakiwa iweje
2: Matunda kama nanasi tikiti, na tango huchukua mda gn kuharibika
3: Nahitajika kuwa na drooo kama zile za chips?
4: Katika utengenezaji wa saladi ya matunda na uuzaji wa matunda ni lazima niwe na kibali cha mamlaka ya chakula
5: Na kama kibali kinahitajika je huwa wanatoza shilingi ngapi kukipata

Nayaheshimu sana mawazo yenu
 

Mapigo1

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
256
0
Huhitaj kibali kwa Experienc yangu
Ukiwa na Frem kama Ile ya Chps ndo inakua vzr zaid...
Pia friji ni Muhimu kaka kwaajil ya kuhifadh matunda yapate ubard na yasiharibike!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom