From zero to hero - mkoranga wataamua 12/09/2015

ANKOJEI

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
996
742
Semina ya Ujasirimali mjini Mkoaranga tarehe 12/09/2015

Umesikia kuna wanaofanya biashara kubwa bila ya kuwa na mtaji wa kuanzia????

Sasa fursa hiyo imekufikia EWE MWANA MKOARANGA, DSM na MOROGORO.

Njoo ujifunze ni namna gani unaweza kuwa shujaa na kuvunja miduara ya umaskini inayokuzunguka..


Semina ni Bureeee Kabisa. Njoo na kichwa chako, daftari na Kalamu. Nakuhakishia utatoka na kitu kipya kabisa.


Mahali ni Ukumbu wa kwa Mzungu karibu na NMB Benki. Shukia stendi ya mabasi yaendayo Kimanzishana.


Kwa maelekezo zaidi piga simu +255 752 693 692

KARIBU DUNIA YA UJASIRIA
 
Ni bora ukanunue mikoba yako kariakoo kwa bei ya jumla kariakoo ukauze vyuoni kuliko kuingia kwenye biashara za forever living and alike
 
Hata jina la wilaya yenyewe hujui kutamka, jinsi gani ulivyokuwa taperiiii. Panaitwa mkuranga, ni mkoa wa pwani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom