wakuu itifak imezngatiwa.
nataka kuanza iyo biashara ila mtaji wangu ni mdogo
,,natafuta mtu mwenye mtaji mkubwa ili tukienda
kununua ng'ombe nitakuwa naongozana nae mikoani kuleta dsm...
Habarini wakuu,
Naomba nifahamishwe ni wapi kilipo chuo kizuri na kinachofundisha kiutendaji zaidi katika fani ya ushonaji hapa Tanzania. Natanguliza shukrani.
ELIMU BIASHARA
MAISHA SI YA BABAAKO
Maisha bana raha sana, haswa ukiwa unayaishi vile unataka au unatamani wewe. Japo yana changamoto zake, hatukatai ila unazikabili vipi. Maisha ni yako wewe...
Wadau, Natumaini Nyote mu wazima wa afya.
Nahitaji vifaranga aina ya kuroiler aged from 1 day to 1 month....au mwenye network anipatia mawasiliano ya mwenyenavyo me napatikana Mwanza!! 0754542300
ELIMU BIASHARA
MAGUMU YASIKUTISHE
Wengi wanaacha kutimiza malengo mara magumu yanapotokea lakini magumu ni kichocheo cha kuinoa akili yako kutenda katika viwango vya juu vya ubora lakini zaidi...
Habari wadau,
Naomba kujua taratibu za mimi kuanza kukopesha pesa kwa watu kwa dhamana na rejesho kwa riba. Mpango ni kuanza local tu bila kampuni, hii kitu inawezekana na ina wateja??
Habari wapendwa.
Naomba mchango wenu, kwa wale waungwana na wenye uelewa jinsi ya maisha yalivyo hivi sasa.
Ni kijana nilie jiajiri kwenye fani ya ufugaji wa kuku wa kisasa na kienyeji, nina...
Habari za muda huu, poleni na majukumu
Wadau ninaomba mnishauri, Mimi ni mfanyakazi katika kampuni ya watu binafsi, huwa ninakua free kila siku kuanzia saa kumi jioni, wkend huwa siendi kazini...
Napenda Kutumia Fursa Hii Kuwajuza Wale Wanaotaka "kujaribu" Ujasiriamali Kwamba Hiyo Ni Moja Kati Ya Wazazi Wa Matatizo Na Changamoto Lukuki! Ukitaka Kufanya Ujasiriamali Ufanye Tu Kwa Moyo...
Ajira sio salama tena kama ilivyokuwa zamani. Kwa sasa maisha yamekuwa ghali huku kipato cha ajira kikiwa hakitoshelezi. Hii inawafanya waajiriwa wengi kufikiria kuingia kwenye biashara.
Lakini...
Jamani waungwana naomba kuuliza je, mayai ya kisasa naweza mpa kuku wa kienyeji alalie nipate vifaranga...??? Au mpaka kutotolesha kwa mashine...??? Au haiwezekani kabisa...???? Na kama...
Habarini wanajamvi,natambua kuwa wapo watu wengi wanahela zao lakini hawana uhakika wawekeze kwenye kitu gani, Kama tunavyojua kwa dar es salaam Vyombo vya barabarani Kama pikipiki,Bajaji,Gari...
Habari za Leo Wakuu,
Husika na Somo Tajwa Hapo Juu, Nna Biashara yangu Ina Run ipo maeneo ya Tandika Magorofani Karibu na Chuo cha Bandari pamoja na Chuo cha Utalii pembeni Mwa Hospital mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.