Stationery: Nifanyeje niboreshe hii biashara?

Afande Nyati

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
2,385
1,413
Wakuu,

Nina biashara ya stationary kutoa copy na ku print. Kamtaji kangu bado ni ka sungura kadogo ila nahitaji kufika mahali.

Naombeni msaada juu ya mbinu za kuboresha ili nami niweze kujivunia cku moja kwamba ni mfanyabiashara mkubwa.
 
katika biashara kuna mambo mengi yanayopelekea kukua na kukomaa kwa biashara ila kubwa zaidi ni nidhamu katika biashara, ubunifu na kusoma mahitaji ya soko.
 
Back
Top Bottom