Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Jamani naomba kufahamu bei ya mashine ya kufyatua tofali (njanja) please
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Watu wa Mkoaranga na majirani wake DSM na Morogoro, fursa adimu imewadia. JE UNAPENDA BIASHARA YA KISASA? JE UNAPENDA KUPATA ELIMU YA BIASHARA? JE HUNA MTAJI? JE UNA MTAJI KIDOGO NA HUNA CHA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau wanao penda ufugaji,bata mzinga wanauzwa kuanzia 120,000= hadi laki 250,000/ kwa kila mmoja!! mawasiliano ni 0719909267
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wataalamu, Ninafuga kuku wa kienyeji. Mara baada ya kuku kutotolewa huwa nawachukua na kuwaifadhi tofauti na Mama yao. Mazingira ninayo ishi hakuna Umeme. Naomba kujua ni njia gani bora naweza...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Nahitaji mbegu za tikiti maji F1. tafafhali kwa anaejua inauzwa bei gani na inapatikana wapi. Asante.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habar wadau. Hivi vi2 viwil huwa vinanisumbua sana. E.g; kwa kuanzia milion moja Je ni kipi kinalipa zaid na kwa Bank gan? Msaada plz kwa mwenye kujua maana nataka ni-Invest somewhere..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibu ndg ujiunge nami ktk kujiajiri kwa kutumia mtaji mdogo wa sh elfu26000 tu,na utaweza kujiingizia kipato kikubwa kwa muda mfupi baada ya kupewa mbinu na mafunzo yatakayo kuwezesha kujua na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bidhaa mpya! Ni dawa za kuku kuwakinga na kideli, dawa za ng'ombe, mbuzi, nguruwe nk. Kwaajili ya minyoo. Binadamu: Zipo dawa za meno, tumbo kujaa gesi, kunyonga, n.k. Dawa za fangasi na m-ba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habar ndg za kaz, naitwa hafidh nimejitokeza kwenu kutafuta mzamin au tajir atakae weza ninunulia noah au ata km anayo kunikabidh kwa ajir ya kaz mm ni dereva ntakua nakuletea hesabu kila cku kiac...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Heshima kwenu... Natafuta mayai ya kuku wa malawi ya kutotolesha... Nahitaji tray 12... Nipo Rufiji, mwenye nayo tafadhali tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wakuu, rejea kichwa cha habari hapo juu.asali mbichi kutoka tabora inapatikana kwa jumla. 20ltrs - 200,000tshs. Maelewano yapo. Ni-pm kama wahitaji. Shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF, Ndoto zangu ni kumiliki Garage. Ningependa kujua yafuatayo; 1.Gharama za kuanzisha Garage. 2.Sehemu nzuri kwa shughuli hii inapaswa iweje 3.Usimamizi wa Garage upo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji chupa za plastic mil 100, 150 , & 200.. Naombeni msaada nitazipata viwanda gani
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Naona wajasiriamali wengi tunajitahidi kufuga na kulimalakini taarifa hasa za masoko..wapi ambapo mjasiriamali apeleke mzigo wake kwa wingi haziko clear....mfano mtu kafuga kuku wake wa nyama 4000...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Looking for partiners in Opening a small industry - Looking for partiners in Opening a small industry Looking for partiners in Opening a small industry
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Wana JF hebu mnisaidie hapa, naona mara nyingi vyombo vya habari vinawataja wafanyabiashara wote kuwa ni wajasiri amali hata wale machinga wanaopanga bidhaa zao barabarani. Hivi ni kweli kuwa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari za leo wadau, Nimekuwa na Kuku wa Mayai Kwa Mwaka Sasa, wametaga kiasi chake ingawa kwa kipindi cha mwezi sasa wamesitisha kutaga, so tangu walipoamua kugoma huko nami nimewabadilishia...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Msaada tafadhali, Kutatua tatizo hilo. Chakula chenye virutubisho vyote wanapata na maji vyakutosha, pia wana sehemu nzuri za kutagia na kutotolea. Kwa ujumla huduma zote wanapata., ila tatizo...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Make a commitment to yourself to succeed. Tell your self it is okay to ‘fail'. Remember, if you are not failing you are not trying something new, therefore are unlikely to be succeeding...
1 Reactions
0 Replies
999 Views
ELIMU BIASHARA UJASIRIAMALI NI UJENZI Ujasiriamali huwa unaanzia mbali toka kwenye kuzaliwa kwa idea mpaka kuja kusimama. Siku zote ujenzi wa Msingi unaanziaga chini kwenda juu, hata...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom