Wadau habari zenu,
Nahitaji kufanya business ila sina wazo business gani nianze capital au mtaji ni one million naomba ushauri jamani ni biashara gani naweza kuaza kwa hiyo capital...
Balozi wa Luv touch Manjano Irene Pul Katika Picha ya Pamoja na washiriki wa Semina ya ujasiriamlai ya wanawake kwa kupitia Vipodozi vya Luv Touch manjano iliyochini ya Manjano foundation.Lengo la...
Hello wanajamii.....mimi ni JAPHET CHARLES MUNNAH ni Laboratory Technician katika wilaya ya Missenyi mkoani Kagera. Natafuta mtu yeyote tubadilishane aje Missenyi; Kagera na mimi niende wilaya...
habarini wadau,
Pengine katika kujiongezea upeo, kwa wale wenye exposure zaidi. Ningependa kujua fursa zipatikanapo kwa wajasiriamali wadogo kwa wakubwa, maana nchini kumekuwa na viwanda vingi...
Nimedunduliza vipesa kidogo nimepata 3milions, nataka kufungua grocery, itafaa wapendwa? Je nikiongeza na chips na mishikaki hapohapo grocery itafaa au mshika mengi hukosa vyote? Nitaajiri...
Biashara za aina hii zina changamoto zake;mara nyingi wakati wa kufunguliwa kwa biashara za namna hii
wateja hua wanamimi nika kama mvua lakini baada ya muda wateja huanza kupotea mmoja baada ya...
Msaada kuku wangu wanakufa! Sijui ni nini? Wakianza kutaga wanakufa either wakilalia au second time ya kutaga, sijajua ni nini? Ananyongea for one day, second day anakufa.
Msaada jamani.
Kutokana na jua kali kipindi cha kiangazi huwa mbogamboga hazistawi vizuri pia kipindi cha mvua mbogamboga hazistawi vizuri kutokana na mvua nyingi.
Je, kunauwezekano wa kuezeka shamba unalolima...
wadau habari zenu,
Naomba kufahamu taasisi,jumuiya au wataalamu fulani wanaotoa semina ya Ujasiriamali. Nina Mwaka mmoja sasa tokea nianze biashara yangu ya duka la rejareja hapa morogoro...
Habari wakuu,
Naomba fahamishwa mahali wanaponunua asali mbichi kwa bei ya jumla hapa Dar na ni bei gani kwa dumu la Lita 20.Natafuta soko hilo niweze kuuza dumu kama 20 hivi ambazo ninazo...
ELIMU BIASHARA
NI UWEZO WAKO
Kufanya maamuzi mara nyingi huwa inategemea na nini kipo kichwani kwako na nini unafahamu kuhusu hicho kitu cha kufanyia maamuzi. Uwezo wa kutambua jambo na uwezo wa...
Habari msomaji wa uzi huu.
Nimependa kuwashirisho hili kwa atakayehitaji aweze kufaidika.
Natarajia kufungua kampuni itakayohusika na mambo ya fedha na uwekezaji, hivyo kwa atakaye taka kuingia...
Habari...Natafuta shamba la kununua Arusha lenyewe ukubwa kuanzia nusu heka na kuendelea.
Napendelea sana maeneo ya Ngaramtoni hasa Redio habari maalum...
Kama unafahamu muuzaji ama dalali wa...
naomba msaada nahitaji hizi chemical zifuatazo
1. Campden Tablet
2 Tannin
3. na hiki kifaa " HYDROMETER "
Ntashukuru sana kwa msaada nitakaopata kwa mwenye kujua wapi naweza kuzipata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.