Msaada tafadhali: Biashara ya chipsi

Msaada tafadhali: Biashara ya chipsi

yousaw

Senior Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
160
Reaction score
128
Nataka kuanzisha biashara ya chips ila bado sijajua mchanganuo wake yaan mtaji, muuzaj namlipa kiasi gani kwa siku, mimi naingiza kiasi gani kwa siku, pia vitu vikiisha kama viazi ni juu yangu au ya niliyempa biashara, na mwsho kabisa ni namna nzuri ya kuendesha hii programe.

Msaada kwa anayefaham tafadhali.

AHSANTE.
 
Back
Top Bottom