Kilimo cha Tangawizi

Kilimo cha Tangawizi

kinyangesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
247
Reaction score
86
Habari ndugu zangu?

Kwanza mniwie radhi kwan kifaa changu kilizma chaji kabla sijapost. Nahitaji kupata maarifa juu ya kilimo cha tangawizi , je mbegu nzuri ni aina gan? Zinapatikana wap? Je huchukua muda gan mpaka kuvuna? Kama nikiweza kupata gharama Zake na faida. Nitafurahi pia kupata uzoefu mwingne juu ya kilimo hiki.

Asanteni sana
 
Mh! Hebu Pata Time Ya Kupitia Uz Wako Mkuu ,yan Hujaeleweka Unataka Nin Kujua Mbinu,ama Soko Ulicho Kiandika Hakijulikan kinyangesi
 
Last edited by a moderator:
Habari ndugu zangu?

Kwanza mniwie radhi kwan kifaa changu kilizma chaji kabla sijapost. Nahitaji kupata maarifa juu ya kilimo cha tangawizi , je mbegu nzuri ni aina gan? Zinapatikana wap? Je huchukua muda gan mpaka kuvuna? Kama nikiweza kupata gharama Zake na faida. Nitafurahi pia kupata uzoefu mwingne juu ya kilimo hiki.

Asanteni sana
 
Nami ningependa kujua kilimo cha zao hili..
 
Mwenyewe nafuatilua ila napata maarifa kwa kutumia YouTube naendelea kutafuta taarifa zake zikikamika naweza anza January project.
 
Nimeanzisha upya huo uzi, tafadhali fuata hiyo link tupate maarifa. Samahan kwa usumbufu mkuu
 
mbegu niliambiwa zinapatikana Same,Kilimanjaro
kwa upande wa ubora sijafahamu vizuri.
 
Angalia you tube au google is everything you need
 
Back
Top Bottom