Dengue JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 2,050 Reaction score 1,469 Sep 17, 2015 #1 Nahitaji vifaranga vya bata wa kawaida hawa (bata mavi). Mwenye navyo anipm. Ninapatikana Dsm.
S svoca JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 373 Reaction score 70 Sep 18, 2015 #2 Vifaranga wewe ni wa nini wale unachukua wakiwa tayar wakubwa majike wawili dume moja uzao mmoja tu banda linajaa.hao vifaranga watakucost bure.
Vifaranga wewe ni wa nini wale unachukua wakiwa tayar wakubwa majike wawili dume moja uzao mmoja tu banda linajaa.hao vifaranga watakucost bure.
Dengue JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 2,050 Reaction score 1,469 Sep 18, 2015 Thread starter #3 svoca said: Vifaranga wewe ni wa nini wale unachukua wakiwa tayar wakubwa majike wawili dume moja uzao mmoja tu banda linajaa.hao vifaranga watakucost bure. Click to expand... Navihitaji kwa ajili ya kufuga. Tena vile vya siku moja. Unashangaa vifaranga vya bata mbona watu wananunua vya kuku,kanga ila hakuna maswali. Kama unavyo nipm.
svoca said: Vifaranga wewe ni wa nini wale unachukua wakiwa tayar wakubwa majike wawili dume moja uzao mmoja tu banda linajaa.hao vifaranga watakucost bure. Click to expand... Navihitaji kwa ajili ya kufuga. Tena vile vya siku moja. Unashangaa vifaranga vya bata mbona watu wananunua vya kuku,kanga ila hakuna maswali. Kama unavyo nipm.