Mkuu,
Nimesema ni expensive sio kwa kulinganisha na huduma zitakazopatikana kutokana na hiyo Tshs 7Mil, bali suppliers wengine wa same products.
Mfano Balton wanatoa kwa Tshs 6Mil.
Kuna mdau mmoja wa hapa JF anaitwa
mamaNa anatoa kwa approx. Tshs 4Mil (Angalia
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...08513-jenga-greenhouse-kwa-gharama-nafuu.html).
Pia wapo wakenya ambao ukizitoa kwao na kuzileta hapa haifiki hata Tshs 6Mil,
Jaribu kuwaambia hawa watu wawe fair kidogo ili huu utajiri utokanao na kilimo tuupate sio baada ya kurudisha cost kubwa!!