Nauza kuku chotara

Nauza kuku chotara

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,333
Reaction score
3,389
Kwa mwenye uhitaji wa kuku hawa ni chotara,mchanganyiko wao ni kuku wa mayai wekundu na kuku wakienyeji,kuna majogoo na majike,majogoo ni wekundu kama walivyo majike na wanauwezo wakupanda vizuri kama jogoo wakienyeji,umri wao ni miezi mitatu.

Bei ni maelewano kutokana na kuku mwenyewe alivyo.

Kwa mwenye uhitaji ani pm,

Asante
 

Attachments

  • IMG_20150916_144416.jpg
    IMG_20150916_144416.jpg
    236.1 KB · Views: 690

Similar Discussions

Back
Top Bottom