Si tatizo geni hasa Kwa vijana wengi ambao wana aanza kutafuta maisha nikiwemo na mimi mwenyewe kua na tabia ya "matumizi mabaya ya fedha " binafsi napenda sana luxury stuffs sio lazima kiwe na...
Wadau kama mnavyojua maisha kwa sasa yamekua magumu na inahitaji kutumia nguvu na akili ya ziada hivyo katika kujibana kwangu nimedunduliza sh.600000)laki sita.
Hivyo nimekuja kwenu mnipe wazo...
Ndugu wajasiliamali wenzangu naomba kuulizia hali ya soko ipoje kwa wale wanaofuga kuku wa nyama yaani Broilers kwa mikoa ya Dar es salaam na Morogoro. je ni wakati gani yaani kuanzia January...
kuna soko nimeliona la mikate na maandazi kijiji fulani,naona panafaa kufungus kabekary kadogo,<kijiji kins watu kama elfu tano ,ukijumlisha na vijiji vys pembrni wanafikia elfu 10+
Naomba...
Niko na tray 10 za mayai ya kuku wa kisasa nimetapokea leo, hivyo mwenye kujua wapi naweza pata huduma ya kuzitotolesha nitashukuru sana
Niko Mwanza mjini
Habari ya mwisho WA wiki wana jukwaa, poleni Sana na majukumu ya kila siku. Sasa kilichonileta hapa Ni kwamba Mimi Nina nyumba nahitaji mkopo kwenye taasisi za fedha, sasa kila nikienda...
Wadau nimeskia kuna taasisi inaitwa vicoba saccos saving inajihusisha na kuwasaidia wajasiliamali kuwapa mikopo ya riba nafuu na dhamana yake ni.ndogo pia(ela)
ila naskia wanatoa kupitia online...
Natafutua mteja ambaye yupoo serious kwa kununua kuku wa kienyejii jumla nauza 12000 reja reja kuanzia 15000 my namba 0653441636 au 0763592111 karibuni
Habari wanajamvi,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja hapa dodoma,nahitaji kujua nitaweza kufanya biashara gani wakati nipo chuo. hata kama itahitaji usimamizi wa muda kidogo nikiwa off campus...
Ndugu wana JF. Nauza asali ya nyuki wakubwa ila soko bado linanisumbua naombeni msaada wenu. Nauza kuanzia ujazo wa lita moja kwa sh 10000 pia ninauza jumla dum la lita ishirini kwa sh 160000...
Wapendwa poleni na mihangaiko. Binafsi nahtaj kulima alizeti huku maeneo ya iringa. Na cjajua soko lake likoje kwa huku. Naomben msaada wa soko la alizeti.
Habari zenu wadau,
Karibuni wateja katika biadhara yangu ndogo nnayoifanya muweze kuniwezesha mjasiliamali mwenzenu. Natengeneza na kuuza sabuni za maji zenye ubora wa hali ya juu na harufu...