Rais Mh Magufuli akisoma bango toka kwa kina mama Arusha wakiomba awafikirie katika suala zima la kupewa mikopo kwa ajili ya ujasiriamali. Tunamwomba Mh JPM awafikirie mama zetu,dada zetu, wake...
Hii niliipata kwenye Whatsup na nimeona bora niwashirikishe na WanaJF pia.
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na
kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata...
Wakuu habari za majukumu ya kila siku.
Naombeni kufahamu mkoa wa dodoma katika sehemu hizi
1. kilimo.
Mazao gani yanalimwa mkoa huu. Ingekuwa vema utaje na wilaya linapolimwa zao hilo.
Wateja wa...
Habari wanajamvi,
Kuna dada mmoja yupo kijijini anadai kadunduliza wee kafanikiwa kupata kiasi cha laki tatu (300,000). Anataka kwenda Dar akatafute biashara afanye ila hadi sasa hajajua ni...
Habarini wana jamvi ,
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kusaidiwa kimawazo.
Nilienda kwa ndugu yangu kumuomba anikopeshe fedha kwa ajili ya mtaji lakini kinyume na matarajio yangu, ndugu...
SIRI YA MAFANIKIO YA KUWA TAJIRI.
Hii ni siri ambayo nimekuwa nikiitumia katika maisha yangu binafsi na wengine wengi waliofanikiwa huitumia pia na imewasidia sana kufikia malengo makubwa...
Msaada wenu waungwana, nikiwa hapa Dar naweza kuuza wapi
madini km Almasi, dhahabu n.k naomba msaada wenu tafadhali
kwani ni zaidi ya mwezi sasa sijajua nikauzie wapi mzigo wapu
Msaada wana jamvi.
Nahitaji till numbers za tigo na voda lakin ziwe kwa majina yangu.
Ninahitajika kuwa na nin na nini pia inachukua muda gan kuzipata.
Mwenye mawazo tusaidiane...
Wana jamii habari zenu, nafikria kufungua stationery office
naomba wenye ufahamu wa gharama zake hasa photo machine, printer, compunter, nk aniambie natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani, na...
Kwa mwenye kumfahamu Bibi/Bwana Shamba aliyebobea katika kilimo cha maembe naomba anipatie contacts za huyo mtaalamu.
Shamba la Miembe lipo Dar es Salaam.
Shukrani.