Msaada: Jinsi ya kupata till number ya Tigo pesa na M-Pesa

Tangi Tomofu kibiki

Senior Member
Mar 31, 2015
118
74
Msaada wana jamvi.
Nahitaji till numbers za tigo na voda lakin ziwe kwa majina yangu.
Ninahitajika kuwa na nin na nini pia inachukua muda gan kuzipata.
Mwenye mawazo tusaidiane...
 
Back
Top Bottom