Nadhani inaitwa stationary office ,muhimu kuwa na computer,photocopy machine,scanning machine,
Nashukuru mkuu, unaweza kuniambia bei ya hizo Machine?
Mkuu wewe uko Polini au Kisiwani? Ujue kuna vitu vingine unatakiwa kuzunguka madukani na kuuliza bei tena inapendenza, Na kuhusu mtaji, hakuna mtaji maalumu wa kuanzisha biashara yoyote ile, Mtaji ina vary unaweza fungua statinary kwa milini Moja na mwingine akufungua stationary kwa Bilioni Moja hadi Mbili,
Mitaji hutegemea na strategies za mhusika katika kuendesha hiyo biashara na malengo mengine, so katika biashara hakuna Mtaji maalumu wa kuanzisha biashara, Mnaweza enda kwenye mashindano ya Michanganuo ya biashara na katika biashara moja mfano Mgahawa wa Chakula, wengine wakaandika mtaji ni laki 2 wengine milini Moja na wengine milioni 50 na wengine 100 milioni na wengine Bilioni, so kila mtu huwa na strategies na paln za kuendesha kitu fulani na ndo hudetermine Mtaji, sasa kama hujaa uka plan ni vigumu sana kuja kuuliza tu huku, Kaa chini andika mchanganuo kila kitu hapo ndo utajua cost,
Wana jamii habari zenu, nafikria kufungua stationary
naomba wenye ufahamu wa gharama zake aniambie natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani, na natakiwa kuanza na vitu gani.
Nawasilisha...
Mkuu kwanza mtaji nikiasi gani kwaushauri wang ukianza na mtaji wa Mlion 3 inafaa pli tafuta mahali unapoona panafaa biashara hiyo tatu tafuta mtu mzuri atakaye kuasidia kuuza.
3mil unaweza kununua vifaa vifuatavyo.
1. Multpupose Coppier, Scanner, Printer 260,000 laiser jet black and white,
2. Lamination Machine 105000
3. Binding Machine 85,000
Baada hapo kama upo dar nenda pale Nafuu stationery wambie una budget ya mil moja nataka uminpe vitu vya kiasi hicho wao watakushauri vitu vya kununua kwaajili ya stationery.
Hii nafuu stationary iko mitaa gan hapa mjin?
ninachopenda kwenye jamvi unapata mengi kwa bei zote.. thanks nimepata bonge la aideaMwala J
Pamoja na michango mizuri ya Wanajamvi, nami napenda kukupa ushauri ufuatao: Tafuta vitabu hivi na kuvisoma kwa kuanzia, mapema iwezekanavyo THE CASHFLOW QUADRANT, THE BUSINESS SCHOOL & THE BUSINESS OF THE 21ST CENTURY vyote vikiwa vimeandikwa na Robert T. Kiyosaki. Vinapatikana kwenye maduka yafuatayo: Scholastic Bookshop (Mlimani City & Posta), Dar es Salaam Printers, Saramanda, n.k. Pia, kwa wauza vitabu stand ya mabasi ubungo vinapatikana.
Vitabu hivi vitakusaidia kukupa mwanga zaidi juu ya biashara na ujasiriamali katika karne hii ya 21, hasa kwa watu ambao tunakumbwa na changamoto za Usimamizi, Mitaji, na Ofisi/Eneo (premisis) la kufanyia biashara. Zaidi, vitakupa muongozo mzuri namna unavyoweza kuutumia muda wako wa ziada (part time) kujenga TIMU ya watu watakaokuwa wanakufanyia kazi (SYSTEM/ NETWORK) kama ambavyo Bakheresa, Mengi, n.k walivyo na wanavyoendelea kufanya.
Kwa mawasiliano zaidi, piga 0713 366 473 au 0767 277 223.
KILA LA KHERI MKUU.
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriWana jamii habari zenu, nafikria kufungua stationery office
naomba wenye ufahamu wa gharama zake hasa photo machine, printer, compunter, nk aniambie natakiwa kuwa na mtaji kiasi gani, na natakiwa kuanza na vitu gani.
Nawasilisha...
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriNadhani inaitwa stationary office ,muhimu kuwa na computer,photocopy machine,scanning machine,
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuri
Mkuu wewe uko Polini au Kisiwani? Ujue kuna vitu vingine unatakiwa kuzunguka madukani na kuuliza bei tena inapendenza, Na kuhusu mtaji, hakuna mtaji maalumu wa kuanzisha biashara yoyote ile, Mtaji ina vary unaweza fungua statinary kwa milini Moja na mwingine akufungua stationary kwa Bilioni Moja hadi Mbili,
Mitaji hutegemea na strategies za mhusika katika kuendesha hiyo biashara na malengo mengine, so katika biashara hakuna Mtaji maalumu wa kuanzisha biashara, Mnaweza enda kwenye mashindano ya Michanganuo ya biashara na katika biashara moja mfano Mgahawa wa Chakula, wengine wakaandika mtaji ni laki 2 wengine milini Moja na wengine milioni 50 na wengine 100 milioni na wengine Bilioni, so kila mtu huwa na strategies na paln za kuendesha kitu fulani na ndo hudetermine Mtaji, sasa kama hujaa uka plan ni vigumu sana kuja kuuliza tu huku, Kaa chini andika mchanganuo kila kitu hapo ndo utajua cost,
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizurininachopenda kwenye jamvi unapata mengi kwa bei zote.. thanks nimepata bonge la aidea
Ushauri mzuri sanaa ingawa unapromote biashara ya m2Mwala J
Pamoja na michango mizuri ya Wanajamvi, nami napenda kukupa ushauri ufuatao: Tafuta vitabu hivi na kuvisoma kwa kuanzia, mapema iwezekanavyo THE CASHFLOW QUADRANT, THE BUSINESS SCHOOL & THE BUSINESS OF THE 21ST CENTURY vyote vikiwa vimeandikwa na Robert T. Kiyosaki. Vinapatikana kwenye maduka yafuatayo: Scholastic Bookshop (Mlimani City & Posta), Dar es Salaam Printers, Saramanda, n.k. Pia, kwa wauza vitabu stand ya mabasi ubungo vinapatikana.
Vitabu hivi vitakusaidia kukupa mwanga zaidi juu ya biashara na ujasiriamali katika karne hii ya 21, hasa kwa watu ambao tunakumbwa na changamoto za Usimamizi, Mitaji, na Ofisi/Eneo (premisis) la kufanyia biashara. Zaidi, vitakupa muongozo mzuri namna unavyoweza kuutumia muda wako wa ziada (part time) kujenga TIMU ya watu watakaokuwa wanakufanyia kazi (SYSTEM/ NETWORK) kama ambavyo Bakheresa, Mengi, n.k walivyo na wanavyoendelea kufanya.
Kwa mawasiliano zaidi, piga 0713 366 473 au 0767 277 223.
KILA LA KHERI MKUU.
Nami nimeipendaninachopenda kwenye jamvi unapata mengi kwa bei zote.. thanks nimepata bonge la aidea