Msimu huu wa kilimo ntakua natoa maelezo ya kitaalamu na picha live toka shambani kwa vitendo kuanzia kuaandaa shamba, kuchagua mbegu, kupanda, kuzuia wadudu na magonjwa, mbolea, kupalilia hadi...
---
🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
❗ ATHARI ZA NG’OMBE KULA KONDO LA NYUMA BAADA YA KUZAA
---
🔍 Tatizo ni nini?
Ng’ombe kula kondo la nyuma ni hali hatari kiafya. Inaweza kusababisha:
---
❌ Madhara...
Jamani habari za sahizi nduguzangu,
Nimepanga kuingia katika kilimo cha mpunga, kuna rafiki yangu mmoja kanambia kwa kilipo cha mpunga kahama kina lipa hasa maeneo ya Mwendakulima. Sasa swali...
MATUNDA MAZURI YA UVUVI WA VIZIMBA YAANZA KUONEKANA MUSOMA VIJIJINI
Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21, lina Kata 18 zilizoko pembezoni mwa Ziwa Victoria. Kwa hiyo, uvuvi ni kazi...
Kumezuka Biashara ya mayai ya kware hodi hodi mpaka maofisini Biashara hi ni sawa na DECI, ama Dollar jet kwa kifupi ni PYRAMID ni utapeli wa hali ya juu. Wajasiria mali wamekuwa wakibuni njia...
Wakuu kama mtakumbuka kupitia jukwaa hili miaka miwili mitatu iliyopita tulihamasishana sana kuhusu ufugaji wa kware ili kunufaika na biaashara ya nyama na mayai. Tuliambiwa pia mayai ya kware...
Mfugaji unatamani kuona mifugo yako ikiwa na afya njema, imara, yenye nguvu na yenye uzalishaji wa Hali ya juu Huku ukitumia gharama nafuu ya chakula ama ulishaji?
mifugo plus tumekuletea PROMASS...
Habari wakuu.
Katika harakati za kupata maarifa mapya mtandaoni nilikutana na hawa mbuzi (picha chini) maelezo niliyosoma kuwahusu ni kuwa;
hawa ni mbizi wa nyama wanao uwezo mkubwa wa kupata...
Matunda ya Amarula tumeyala sana utotoni, ni matunda ndani yako kama ilivyo embe sema yana uchachu kwa mbali sana na pia yanalewesha ukila mengi hivyo yulikuwa tunakula kiasi tu. Ukiachana na...
Habari za leo wanajukwaa. Heri ya siku ya pasaka.
Najua humu kuna wataalam mbalimbali, naomba kujua kwa mkoa wa iringa je miti ya mitiki inaweza kustawi?
Katika kupambana nimefanikiwa kununua...
Weka namba ya whatsapp nikutumie kitabu cha Utengenezaji wa incubator kwa njia ya kienyeji namna ya kutotolesha vifaranga nyumbani kwako Kwa kutumia plastic au box na vifaa vingine vinavyopatikana...
---
🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
⏱️ MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA NG’OMBE
---
🔍 Kwa nini ni muhimu?
Kupandisha kwa wakati sahihi huongeza nafasi ya kushika mimba na kuepuka kurudia mara kwa mara.
---...
---
🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
⏱️ MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA NGURUWE WAKO
---
🔍 Kwa nini muda ni muhimu?
Kupandisha nguruwe jike kwa wakati sahihi huongeza nafasi ya kushika mimba na kupata watoto...
---
🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
🍼 Sababu za Msingi Zinazomfanya wanyama Jike Kushindwa Kutoa Maziwa + Suluhisho Kamili
---
🔍 Tatizo ni nini?
Nguruwe jike asipotoa maziwa, watoto hukosa lishe ya...
Mwaka 2023 nilipoanza kufuga kuku, kuna swali moja lililokuwa linanisumbua sana nitumie mkaa au umeme kuwapatia joto vifaranga?
Mwanzoni nilidhani ni changamoto yangu binafsi. Lakini nilivyoanza...
Ndugu zanguni naombeni msaada wenu tafadhali.
Kilimo cha matango gharama zake zipoje, kuanzia hatua ya kwanza mpaka hatua ya mwisho kwa ekari moja tu.
Ukiachana na gharama za kukodi shamba kwani...
1. Afya ya udongo ni nini?
Afya ya udongo ni uwezo wa udongo kukidhi mahitaji ya ukuaji na uzalishaji wa mimea kama vile: virutubisho, maji, hewa pamoja na uwezo wa udongo kushikilia mmea
2.0...
Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati...
⚖️Uzito ni Msingi wa Mafanikio Katika Ufugaji wa Kuku wa Mayai!
Kwa muda sasa tumekuwa tukitembelea wafugaji wa kuku wa mayai katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kitu cha kushangaza (lakini cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.