Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

JF Hali ya uchumi ni ngumu sana kwa watu wote hasa tunategemea mwisho wa mwezi. Weekend nilijaribu kupiga hesabu za mishahara yangu in next 10 years....ooooooooooops hazikufika hata 500millions...
130 Reactions
892 Replies
409K Views
Kama kuna mtu yupo interested kufanya kilimo cha bustani , mbogamboga. Nichek DM, tufanye kazi Mashamba yapo Maji yakutosha , mto una flow maji through out the year Pump ya mwagilia ninayo...
7 Reactions
1 Replies
363 Views
D-AGRO ENTERPRISES 1. UTANGULIZI D-AGRO ENTERPRISES inajihusisha na uzalishaji, usambazaji wa pembejeo, na ushauri wa kitaalamu kwa wakulima. Imesajiriwa Brela, Tumejikita katika kuinua kilimo...
2 Reactions
2 Replies
376 Views
Wadau wa ufugaji kuku waliopo Dar , nahitaji vifaranga kwa kuku chotara aina ya Kenbro kwa dar kwa sababu lazima nitume kijana aje kukagua parent stock , wakiwa vizuri ntachukua wengi kidogo kama...
3 Reactions
0 Replies
307 Views
Wakuu Tanzania ni nchi kubwa sana na ina resources nyingi sana. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza sana hivi tukianza kuwa makini na resources zetu hatuwezi kujikomboa kutoka kwenye umasikini kweli...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
habari ndugu zangu wana jf. nahitaji pea za ndege kasuku kwaajiri yaufugaji, yaani dume2 na jike2 mimi napatikana dares salaam, kwamwenye nao au anae fahamu mazingira yakuwapata kwahapa dar...
1 Reactions
1 Replies
316 Views
https://www.instagram.com/reel/DMhiReEvsPa/?igsh=MWlmenBqbHVrbHd0cw== Wafugaji wenzangu miaka mingi nyuma ilitengenezwa makala hii
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Wakuu nipo hapa kupokea nondo zenu sijawahi fuga kuku wa mayai. Najua kuna dawa wakipewa huwa zinawazuia kuku kutaga sio dawa tu hata booster pia nyingi huwafanya wanenepeane na kuwa na mafuta...
3 Reactions
3 Replies
493 Views
Wakuu, Kuwekeza mamilioni kwenye kilimo pasipo kufuatilia afya ya udongo wako ni kama ku-bet. Vifaa vya kujipimia udongo siku hizi ni vingi kwa bei rafiki na maelezo yake yamejaa You Tube...
2 Reactions
7 Replies
502 Views
JINSI YA KUJITENGENEZA CHAKULA CHA KUKU NYUMBANI KWA AJILI YA KUONGEZA UZALISHAJI Kutokana na kuongezeka kwa gharama za chakula cha kuku iwewawia vigumu wafugaji wa kuku kupata faida kupitia...
17 Reactions
97 Replies
89K Views
Salaam, Kama kichwa kinavyojipambanua, naombeni usaidizi wa mawazo juu ya ufugaji sungura ( kwa size ya kati, sio mdogo wala mkubwa sana) na zaidi nisaidieni ni wapi naweza Pata soko la uhakika...
2 Reactions
7 Replies
534 Views
Habari Guys, natumaini mpo salama. Mimi ni mgeni wa kilimo, naomba kuuliza... ekari 6 za kikimo cha muhogo, kilicho tunzwa kawaida, kina wastani wa chini wa gunia ngapi? Nineuliza sababu...
3 Reactions
5 Replies
628 Views
Hapa no kilimo cha matunda, mbogamboga na baadhi ya mazao ya chakula Huhitaji tena kwenda kununua mboga zisizo salama.. Na wala huhitaji kulalamika kuwa huna eneo la bustani
8 Reactions
87 Replies
3K Views
Leo nataka tuangazie fursa hii ambayo imekuwa ikizungumzwa sana lakini bado haijatiliwa mkazo. Ukiitazama kwa jicho la fursa — inaweza kuwa njia ya tobo lako la kiuchumi mwaka huu! ❓Je, unajua...
4 Reactions
79 Replies
7K Views
  • Poll Poll
Wakuu nauza Nta (Beeswax) inayopatikana baada ya kuchakata asali ya nyuki wakubwa. Nta iko vizuri niya Mwaka huu. Niko Tabora, niko na Tani moja, ila kama utahitaji zaidi uwezekano upo wa kupata...
2 Reactions
6 Replies
422 Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 26 nimekuja kwenu wana JF ili niweze kupata elimu na kunifungua akili juu ya wazo nililo nalo na wapi pa kuanzia Nimejipanga kuanza shughuli za...
5 Reactions
4 Replies
674 Views
WATER PUMP ZA SOLAR Ndugu mkulima, je wewe ni miongoni mwa wanaotumia zaidi ya elfu 50 kwa siku kununua mafuta ya kuendesha pump kwa sababu una shamba kubwa. Hapo ukipiga hesabu ndani ya miezi 3...
1 Reactions
7 Replies
796 Views
Wengi huamini kwamba ufugaji wa ng’ombe ni shughuli ya mashambani au vijijini pekee. Lakini ukweli ni kwamba — mjini ndiko kuna fursa ya haraka, ya uhakika, na yenye faida kubwa! Jiulize: Unayo...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari ndugu wakulima na wafugaji, kumekuwa na sintofahamu nyingi kuhusu super gro, nilikuwa naomba msaada wa mawazo wewe kama mkulima unaitambua kama mbolea? Na Kwa wale waliotumia mavuno yake...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari za siku ndugu wanajamvi. Kama ilivyo katika kichwa Cha thread hapo juu, nataka niende kulima ngano katika wilaya ya Sumbawanga. Naomba Ushauri wenu hapo Kwa wote, ili niingie katika...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Back
Top Bottom