Vimbwanga vya kuku wa kienyeji

Vimbwanga vya kuku wa kienyeji

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,812
Reaction score
60,668
Kwa wale wafugaji wenzetu wa mfugo ndege aina ya Kuku hasa wa kienyeji ninaowafuga mimi huu uzi special tujadili matukio ya kushangaza na hata kufunja rekodi ila basi tu hatuyatangazi..

Mimi binafsi nimeanza kufuga 2025 nilianza na makoo 3,kisha nikaongeza majogoo 3 chotara kisha nikaongeza Tena makoo wa 4..

Sasa visa vyao

1. Kuna kuku yeye kazi yake kutaga kitandani kwangu yaani humwambii kitu lazima atage kitandani kisha yai nilihamishe

2. Mwingine huyo yeye ana watoto vifaranga 8 ila akiona mayai ya wenzake ana force kwenda kuyalalia sijui kadataje.

3. Kuna hao watatu wao wanataga sehemu moja na wanaaachiana zamu kutamia nimewaacha.

NIPE VISA VYA KUSHANGAZA VYA KUKU WAKO HASA WA KIENYEJI
 
1.kuna kuku yeye kazi yake kutaga kitandani kwangu yaani humwambii kitu lazima atage kitandani kisha yai nilihamishe

2.mwingine huyo yeye ana watoto vifaranga 8 ila akiona mayai ya wenzake ana force kwenda kuyalalia sijui kadataje.

3.kuna hao watatu wao wanataga sehemu moja na wanaaachiana zamu kutamia nimewaacha.

NIPE VISA VYA KUSHANGAZA VYA KUKU WAKO HASA WA KIENYEJI .
3.kuna hao watatu wao wanataga sehemu moja na wanaaachiana zamu kutamia nimewaacha😂😂😂wajamaa
 
Nilifuga. Kijijini kipindi hicho nilikua na uwezo kuku mooja akawa na vifaranga hadi 40 hadi watu wanashangaa imekuaje

Nilikua na kuku kazi yake ni kutaga tu hana biashara ya kulalia mayai.

Mwingine nikunywa mayai tu qnataga anakunywa hadi ya wenzie mpuuzi yule nilimla supu tena ilikua ijumaa na jumapili ilikua pasaka sikua na uvumilivu.

Wengine wanataga mayai yenye viini 2 wengine wanataga mara 2 kwa siku
Kufuga raha sana ukiwa na eneo kubwa au ukiwa na mtaji wa kuwalisha
 
Kwa wale wafugaji wenzetu wa mfugo ndege aina ya Kuku hasa wa kienyeji ninaowafuga mimi huu uzi special tujadili matukio ya kushangaza na hata kufunja rekodi ila basi tu hatuyatangazi..

Mimi binafsi nimeanza kufuga 2025 nilianza na makoo 3,kisha nikaongeza majogoo 3 chotara kisha nikaongeza Tena makoo wa 4..

Sasa visa vyao

1. Kuna kuku yeye kazi yake kutaga kitandani kwangu yaani humwambii kitu lazima atage kitandani kisha yai nilihamishe

2. Mwingine huyo yeye ana watoto vifaranga 8 ila akiona mayai ya wenzake ana force kwenda kuyalalia sijui kadataje.

3. Kuna hao watatu wao wanataga sehemu moja na wanaaachiana zamu kutamia nimewaacha.

NIPE VISA VYA KUSHANGAZA VYA KUKU WAKO HASA WA KIENYEJI
Mimi nataka niwekeze huko nipe experience yako kuhusu huo ufugaji mambo yapi nizingatie , upande wa Faid je ipoje ? na mengineyo muhimu
 
Tulikuwa na jogoo mkubwa sana aina ya kuchi!! Sababu tulimpata Kikatiti tulimpa jina "Akwii" .

Alikuwa ukimwita anasikia jina lake na anakuja!! Alikuwa anatusindikiza dukani kama mbwa!!

Huyu jogoo alikuwa mlinzi, akiingia mgeni alikuwa anamkimbiza. Alikuwa anaua kuku wengine wa mtaani hususan majogoo!!

Siku anachinjwa tulilia sana!! Na nyama yake hatukula watoto wote zaidi ya baba na wageni wake!!

Ukimgusa mwanafamilia wetu ananunua ugomvi huo!!
 
Nilinunua kitimoto wife akakikarabati rost moja matata akapika na ugali tule
Basi ile anatenga tu kuna wale kuku vihere here wakiwa wanataka kutag, Si akaruka dirisha akaja kutua kwenye kitimoto ikamwagiga yote chini

Kwa hasira nikakamata yeye nikachinja akakaangwa tukamla...... spendagi ujinga mimi
 
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom