Mwaka 2023 nilipoanza kufuga kuku, kuna swali moja lililokuwa linanisumbua sana nitumie mkaa au umeme kuwapatia joto vifaranga?
Mwanzoni nilidhani ni changamoto yangu binafsi. Lakini nilivyoanza...
Ndugu zanguni naombeni msaada wenu tafadhali.
Kilimo cha matango gharama zake zipoje, kuanzia hatua ya kwanza mpaka hatua ya mwisho kwa ekari moja tu.
Ukiachana na gharama za kukodi shamba kwani...
1. Afya ya udongo ni nini?
Afya ya udongo ni uwezo wa udongo kukidhi mahitaji ya ukuaji na uzalishaji wa mimea kama vile: virutubisho, maji, hewa pamoja na uwezo wa udongo kushikilia mmea
2.0...
Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati...
⚖️Uzito ni Msingi wa Mafanikio Katika Ufugaji wa Kuku wa Mayai!
Kwa muda sasa tumekuwa tukitembelea wafugaji wa kuku wa mayai katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kitu cha kushangaza (lakini cha...
Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya,Leo napenda kuwaletea huduma bora kwa mifugo yako ambayo husaidia kuongeza uzalishaji kwenye shamba lako la mifugo.
🔴HUDUMA ZINAZOTOLEWA:
✅...
---
🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
Dalili za Nguruwe Anayeumwa
---
🔍 Unajuaje kama nguruwe anaumwa?
Fuatilia dalili zifuatazo mara kwa mara:
1. 🍽️ Kukosa hamu ya kula
2. 😴 Kulala sana au kupoteza...
Kilimo hai endelevu
Kilimo hai – kilimo kisichotumia kemikali za viwandani kama vile mbolea na dawa za kuua wadudu; hutegemea mbinu za asili.
Endelevu – kilimo kinacholinda mazingira, kuendeleza...
nimemfanyia physicl assessment nimepata ivi
Kazubaaa
Hali chakula
Anasingiasingia
Anajitenga na kuku wengi
Manyonya kuvurugika
Mabawa yake yanalegea
Msaada wa kitaalamu kuhusu tiba yake hasa tiba...
Salamu,
Wapendwa nahitaji kujua mashine ya kupandia mahindi zinapopatikana na gaharama yake.
Nipo Dar es salamu muda huu. Nia na madhumuni yangu ni kuepuka hasara kubwa niliyoipata mawaka huu wa...
ELIMU KWA WAFUGAJI
Jinsi ya Kumjua mifugo wako Aliyeshika Mimba.
Dalili za Mimba kwa mifugo
Haoneshi dalili za joto – Hasimami kwa dume baada ya kupandwa
Matiti huongezeka taratibu – Hujiandaa...
---
🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
🚫 Sababu Zinazofanya Mifugo Kutoshika Mimba
---
🔍 Kwa nini mnyama hapatwi mimba?
Zifuatazo ni sababu kuu zinazochangia mifugo kushindwa kushika mimba:
---
❌...
Faida za Kukata Pembe kwa Ng’ombe (Dehorning):*
---
🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
✂️ Faida za Kukata Pembe kwa Ng’ombe (Dehorning)
---
🔍 Dehorning ni nini?
Ni zoezi la kuondoa pembe za ndama au...
---
🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
Ugonjwa wa Anaplasmosis (Ndigana Baridi) kwa Ng’ombe
---
🔍 Utangulizi:
Anaplasmosis ni ugonjwa hatari unaosababishwa na vimelea vinavyoenezwa na kupe. Husababisha...
AZOLLA MKOMBOZI KWA WAJASIRIAMALI – KILIMO NA UFUGAJI
Ndugu Mjasiriamali Mfugaji / mkulima popote pale ulipo, jifunze jinsi ya kuzalisha azolla kwa chakula cha mifugo mbalimbali na matumizi...
Kama unashughulika na kilimo na unapata changamoto ya gharama za kunuanua virutubisho vya mimie shambani kwako huu hapa muongozo.
Hapa kuna mwongozo wa kutengeneza Super Glow na Booster...
---
🐄📢 Elimu Muhimu kwa Wafugaji – Changamoto & Suluhisho!
---
Mambo Yanayowakumba Wafugaji:
Je, unakumbana na matatizo ya maambukizi, uzalishaji mdogo, au magonjwa ya mifugo?
Je, unahisi...
---
🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
Ugonjwa wa Homa ya Mapafu kwa Nguruwe (Swine Pneumonia)
---
🔍 Ugonjwa huu ni nini?
Ni maradhi yanayoathiri mfumo wa upumuaji wa nguruwe. Husababisha shida ya...
Kwa wadau wa kilimo hasa kilimo Cha mpunga Kwa mikoa ile maarufu Kwa uzarishaji wa mpungu ushindani umekua mkubwa , wakulima wamekua wengi na aridhi ndogo ivyo inapelekea mashamba kupatikana Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.