Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Natafuta mbaazi mweupe kwa wingi.ntapata wapi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu nilikuwa natafuta hizi trays kwa hapa Dar naweza kuzipata wapi Na Bei Tafadhali
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada nataka kujua ukubwa wa banda (square mita) la kufugia kuku wa mayai na idadi ya kuku inayotakiwa... i.e kwa kuku wa mayai 300 kwa mfano, inatakiwa banda la ukubwa gani? Pia kwa...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Nauza dagaa wa Mwanza wale wabichi wamekaangwa. Wapo tayari kwa kula Unaweza wapasha ukala au unaweza kuwaunga either way! Hawana mchanga na sio wachungu. Pakiti-1500 (wamewekewa viungo)...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Mashine za kuangulishia vifaranga zenye ubora na uwezo wa hali ya juu zunauzwa. Ni kuanzia mayai 120--5000. Mashine zinatumia umem kidogo na zinatunza joto kwa muda mrefu. Ufanisi wake ni zaid ya...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Wasalaam kama inavyojieleza katika heading, katika jitihada zetu za kupambana na umasikini na kutegemea kuajiriwa tu nimeiona fursa katika kilimo na naomba msaada wa wadau ambao wako na utayari wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajamvi nahitaji Vifaranga Wa kuku Wa mayai wakisasa napatkana IRINGA Kwa mawasiliano zaidi +255768181757
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu, jamaa na marafiki zangu habari zenu. Nikiwa mdau na mkeleketwa wa kilimo huwa napata uchungu sana pale mkulima anaponunua mbegu ambayo inamletea mavuno duni, wakulima wanashindwa kuendelea...
4 Reactions
33 Replies
8K Views
Habari wana jamii forum, zao la korosho nimeona likilimwa sana pwani sasa nimekua nikijiuliza hivi je kuna uwezekano wa kulima hili zao la korosho katika ukanda wa ziwa (ziwa viktoria, Mwanza...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wakuu ni matumaini yangu kuwa mpo salama wasalmini...kutokana na hali ya kiuchumi na kutafuta ajira bila mafanikio, na kutokana na kusubiri ajira za serikali bila mafanikio, nimeamua kuanzisha...
1 Reactions
18 Replies
8K Views
Kwa yeyote anaeijua Makambako vizuri naomba anifahamishe Mambo yafuàtayo 1) Ardhi kwa ajili ya kilimo inapatikana kwa shilingi ngapi kwa heka 2) Mazao yapi ya biashara yanastawi sana 3)...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Wakuu habari za majukumu. Ninatafuta mashine ya kufungia malisho ya mifugo (baling machine) aina ya CLAAS au NEW HOLLAND Tafadhali tuwasiliane iwapo unayo au unamfahamu aliyenayo
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ugonjwa unaowaathiri sana ng'ombe, mbuzi na kondoo kwa kushambulia kwato na miguu yao, ujulikanao kama foot rot (kuoza kwa miguu) sasa umepata suluhisho kwa tiba asilia 100%. Baada ya hiki...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Heshima kwenu wana JF, Naombeni mchango wenu katika kuboresha wazo langu la uwekezaji ambalo natarajia kuanza utekelezaji miezi ya karibuni. Mimi ni msomi wa kawaida nilifanya kazi kwenye NGO...
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Wadau mm nipo mkoa wa Iringa natafuta soko au watu binafsi wenye uhitaji wa mabanzi au makapi ya mbao mkowa wowote tuwasiliane ili tufanye biashara namba yangu ni 0767879732. Hii ni picture ya...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Wakuu hivi mashudu ya pamba yanapatikana wapi kwa wingi na bei yake ni bei gani? kuna wahindi apa dar wanayaulizia hivyo natafuta pa kuyapata niwe nawaletea mzigo. naomba anaye jua anifahamishe...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Habari za mihangaiko wananzengo..ninahitaji Water pump kama kuna mtu anauza tafadhari used lkn iwe katika ubora wa kutumika. **Iwe inatumia Petrol ** Inch 3 Nina 200,000/= taslim kwa kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni aina ya vyakula vya mifugo na bei zake kwa eneo ulilopo pia ushauri wenu juu ya biashara ya kuuza vyakula vya Kuku Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wanajf nimeamua kuingia kwenye kilimo cha mpunga mbeya but sielewi wapi pa kuanzia Km kuna anaeelewa naomba kujulishwa mchanganuo mfano gharama za ukodishaji shamba heka ni bei gn na...
3 Reactions
22 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…