Heshima yenu wadogo kwa wakubwa.
Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza nasoma shahada ya Food science and Technology chuo kikuu cha sokoine, matarajio yangu ni kupata uzoefu wa kufanya kazi katika...
Wakuu nipo katika hatua za mwanzo za kilimo cha nyanya na leo asubuh nimeona hii hali kwenye baadhi ya miche, miche ina siku 16 sasa
Naomba kujuzwa ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani na kiasi...
Habari wanajf
Naomba mnisaidie yafuatayo..
1.Ni mtaji kiasi gani unahitajika kuanzisha biashara ya nguo spesho?
Nguo hizo zinapatikana wapi kwa bei rahisi zaidi?
2.Ni mtaji kiasi gani...
Habari wana jamvi
Ni ukweli usiopingika wafugaji walio wengi wanagawana faida na maduka ya vyakula vya mifugo..Nataka kutoa changamoto zilizokuwa zinanikabili kwenye chakula cha mifugo yangu na...
Poleni na mizunguko ya kila siku, mimi ni mwanafunzi wa chuo...
Nmeamua kulima mpunga, sababu napenda kuinvest katika kilimo,, ila bado nakosa hints za kutosha kwa kilimo Cha mpunga, KWA CHOCHOTE...
Wataalamu naomba msaada wenu nina kuku wangu aina ya kuchi anaumwa anasinzia na kuharisha kinyesi kama cheupe ni dawa gani inaweza kumtibu kuku wangu naomba msaada Maana nilimnunua bei kubwa sana...
yoyote mwenye ufahamu mzuri kuhusu soko la kuku wa kienyeji lenye tija
Nahitaji kufahamu bei ya kuku ya sasa mtetea na jogoo?
pia sehemu nayoweza pata soko la kuku hawa?
##Giftedhand..
email...
Hivi serikali inapotaka kuchukua eneo na kunamazao ya kudumu, je kwa zao kama katani unalipwa sh ngapi kwa shina? Je mazao mengine kama embe, miti ya mbao, korosho,chungwa etc. Naomba wazoefu...