Mwenza wa kushirikiana nae kwenye kilimo

Mwenza wa kushirikiana nae kwenye kilimo

Ekari moja kulima ni tzs50,000/=
Kupanda tzs20,000/=
Mbegu kilo moja tzs15,000/=
Ila unaweza kukata vipande mkuu hii njia ya vipande hupunguza cost za kulimisha shamba
Okay mkuu. So kulima heka shingapi? Moja
 
Bituu KASKAS, nimeona unatafuta mbia WA kuendeleza Mashamba yako, nimejalibu kukupigia, simu yako inaita TU, zamba yangu NI 0717095366/0783502420. SASA, tuwasiliane
 
Ekari moja kulima ni tzs50,000/=
Kupanda tzs20,000/=
Mbegu kilo moja tzs15,000/=
Ila unaweza kukata vipande mkuu hii njia ya vipande hupunguza cost za kulimisha shamba

Mbegu kilo moja sh 15, 000/= mbegu gani hizo? Mafenesi, mabungo au mapera? .. hebu kuwa serious kuchanganua mambo we si unajua unataka kufanya nini?
 
Ekari moja kulima ni tzs50,000/=
Kupanda tzs20,000/=
Mbegu kilo moja tzs15,000/=
Ila unaweza kukata vipande mkuu hii njia ya vipande hupunguza cost za kulimisha shamba
Mkuu kilo 1 ni 15000?
Mahindi sio bei yake hiyo.
 
Huu ujinga ndo unafanya wasomi wengi muishie kuona watu wanatengeneza hela

Na huu UJINGA ndio unaowafanya wasiosoma kujiona wanatengeneza hela wakati ukweli ni kwamba pesa na nguvu wanazowekeza ni nyingi kuliko "WANAZOTENGENEZA"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom