MUYAMONGER14
New Member
- Dec 14, 2017
- 2
- 0
Heshima yenu wadogo kwa wakubwa.
Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza nasoma shahada ya Food science and Technology chuo kikuu cha sokoine, matarajio yangu ni kupata uzoefu wa kufanya kazi katika food industry mbalimbali nikiwa bado mwanafunzi, kuweza kufikia malengo hayo nikaona kwa muda wa likizo itakuwa vyema kama nikijitolea kufanya kazi katika viwanda tofauti tofauti vinavyo husiana na taaluma yangu.
lakini hadi sasa sijajua ni njia gani naweza kuitumia kupata nafasi hiyoo naomba kwa yeyote mwenye ufahamu na swala hilo aweze kunisaidia.
Nataguliza shukrani zangu za dhati kwenu na kuwatakia afya na baraka tele tunapo uelekea mwaka mpya 2018 mungu awabariki.