Jana niliwasilisha mkusanyiko wa mada zinazohusu ufugaji wa kuku..
Leo naomba niweke mkusanyiko wa mada za kilimo.. nimeamua kufanya hivi ili kusaidia wale ambao ni wanachama wapya na wanachama...
Ninamshukuru Mungu kwa kuibuka Mshindi wa Kwanza wa Wazalishaji na Wasindikaji Mazao ya Nyuki kwenye Maonesho ya Nanenane 2025 Kanda ya Ziwa Magharibi yaliyofanyika Nyamhongolo, Mwanza. Hakika...
Kulikuwa na madaktari wa mifugo wa kila Kata.
Sasa hivi hawaonekani. Kada hiyo iliondolewa kwenye Kata au basi ni kutega kazi, maana hawaonekani.
Hakuna msaada wa daktari wa mifugo katika...
Ofa kubwa ya drip tape hadi mwisho wa mwezi
Drip tape mita 1000 ya 0.4
145,000/=
Kuanzia drip tape 10
Drip tape 5 ---150,000/=
Karibu dukani
0788195653
Join group...
Fowl Pox ni ugonjwa wa kuku unaosababishwa na virusi, unaosambazwa na mbu au kwa kugusana.
Dalili zake:
Vidonda kwenye uso, mdomo au midomo ya macho 👀
Kuku kuwa dhaifu na kushuka uzalishaji wa...
Jamani wakulima wa tumbaku wilaya ya kibondi tunaangamia hatujslipwa stahiki zetu Hadi Leo unakaribia mwezi wa pili baada ya mauzo ya mwisho wakati mkataba wa uuzaji tuliongia na kampuni(AMCOS)...
Naomba ushauri
Kwa muda mrefu sasa nipo nikitafakari juu ya kuchagua jambo moja kati ya haya mawili
Kati ya kufanya kilimo cha kisasa juu ya MAZAO ya chakula (Mahindi ,ufuta ,mpunga ,na...
Nimefanikiwa kupata shamba la ekarim kama 50 ambapo kati ya hizo 20 ni msitu, lina chanzo cha maji cha ukakika na nimeshauriwa nifuge nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa.
Niefikiria kuweka...
Kama huandiki, haufugi - unabahatisha tu. Bila kumbukumbu, huwezi kujua:
Kiasi cha chakula kilichotumika
Mapato na gharama zako
Idadi ya kuku waliokufa au waliopo
Faida halisi unayopata...
De-beaking kwa Kuku wa Kutaga (Layers)
De-beaking ni kitendo cha kukata sehemu ndogo ya ncha ya mdomo wa kuku.
Kwa nini hufanywa?
✔ Kuzuia kula mayai (egg eating) - kuku wengine huanza kuvunja...
Habari za muda huu,
Kwa majina yangu naitwa gilliard erasto nina diploma in animal health and production nipo mbele yenu natafuta kazi kwenye mashamba ya mifugo, kwenye agrovet section ya...
Habari zaa mudaa huu....Mimi ni DAKTARI WA MIFUGO nipo Dar es salaam
Kwa mtu atakayehitaji ushauri wa kidaktari karibunii sana,ofisi ipo Tegeta azania ila tunafika popote ulipo.Tunahudumia...
Hii ndiyo inatokea pale ambapo ugonjwa unaingia kwenye banda kabla ya chanjo kufanyika.
Ukiona dalili, mara nyingi huwa ni kuchelewa sana.
Chukua mfano wa Ugonjwa wa Kideri (NewCastle) moja ya...
Habarini wakuu,
Nataka kulima Pilipili kibiashara kwa kilimo cha umwagiliaji. Sina taarifa za masoko kwa ukanda wetu wa Pwani esp Dar es Salaam.
Naomba kujua pilipili zipi ambazo zina soko zuri...
Habari za wakati huu wakuu,
Leo tunawaletea mada muhimu kuhusu "Mikoa 10 Inayoongoza kwa Uzalishaji wa Chakula Tanzania". Tanzania imebarikiwa na ardhi yenye rutuba na hali ya hewa inayofaa kwa...
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa aina nzuri ya mbegu ya maharage soya ya njano, nmeambiwa zipo aina zaidi ya moja itapendeza mkiweka na bei yake.
Mbegu ambayo inafanya vizuri shambani na...