Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE KILIMO Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana. Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato kizuri kupitia ufugaji wa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa madalali mliopo Mwanza ,bei ya chungwa sokoni ni sh ngapi,nataka kuleta mzigo
3 Reactions
3 Replies
331 Views
Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvini, Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga. Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana...
3 Reactions
758 Replies
352K Views
KILIMO BORA CHA UFUTA Ufuta (sesamum indicum) ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya...
22 Reactions
730 Replies
368K Views
Jana niliwasilisha mkusanyiko wa mada zinazohusu ufugaji wa kuku.. Leo naomba niweke mkusanyiko wa mada za kilimo.. nimeamua kufanya hivi ili kusaidia wale ambao ni wanachama wapya na wanachama...
10 Reactions
165 Replies
139K Views
Ninamshukuru Mungu kwa kuibuka Mshindi wa Kwanza wa Wazalishaji na Wasindikaji Mazao ya Nyuki kwenye Maonesho ya Nanenane 2025 Kanda ya Ziwa Magharibi yaliyofanyika Nyamhongolo, Mwanza. Hakika...
21 Reactions
44 Replies
2K Views
Mwenye kujua huu ugonjwa wa kuku kifaranga kuvimba miguu anisaidie kujua aina ya ugonjwa na dawa yake.
1 Reactions
7 Replies
608 Views
Kulikuwa na madaktari wa mifugo wa kila Kata. Sasa hivi hawaonekani. Kada hiyo iliondolewa kwenye Kata au basi ni kutega kazi, maana hawaonekani. Hakuna msaada wa daktari wa mifugo katika...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Ofa kubwa ya drip tape hadi mwisho wa mwezi Drip tape mita 1000 ya 0.4 145,000/= Kuanzia drip tape 10 Drip tape 5 ---150,000/= Karibu dukani 0788195653 Join group...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Fowl Pox ni ugonjwa wa kuku unaosababishwa na virusi, unaosambazwa na mbu au kwa kugusana. Dalili zake: Vidonda kwenye uso, mdomo au midomo ya macho 👀 Kuku kuwa dhaifu na kushuka uzalishaji wa...
2 Reactions
0 Replies
253 Views
Anonymous
Jamani wakulima wa tumbaku wilaya ya kibondi tunaangamia hatujslipwa stahiki zetu Hadi Leo unakaribia mwezi wa pili baada ya mauzo ya mwisho wakati mkataba wa uuzaji tuliongia na kampuni(AMCOS)...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Naomba ushauri Kwa muda mrefu sasa nipo nikitafakari juu ya kuchagua jambo moja kati ya haya mawili Kati ya kufanya kilimo cha kisasa juu ya MAZAO ya chakula (Mahindi ,ufuta ,mpunga ,na...
1 Reactions
2 Replies
577 Views
Kama huandiki, haufugi - unabahatisha tu. Bila kumbukumbu, huwezi kujua: Kiasi cha chakula kilichotumika Mapato na gharama zako Idadi ya kuku waliokufa au waliopo Faida halisi unayopata...
1 Reactions
0 Replies
263 Views
De-beaking kwa Kuku wa Kutaga (Layers) De-beaking ni kitendo cha kukata sehemu ndogo ya ncha ya mdomo wa kuku. Kwa nini hufanywa? ✔ Kuzuia kula mayai (egg eating) - kuku wengine huanza kuvunja...
2 Reactions
0 Replies
344 Views
Habari za muda huu, Kwa majina yangu naitwa gilliard erasto nina diploma in animal health and production nipo mbele yenu natafuta kazi kwenye mashamba ya mifugo, kwenye agrovet section ya...
3 Reactions
12 Replies
662 Views
Habari zaa mudaa huu....Mimi ni DAKTARI WA MIFUGO nipo Dar es salaam Kwa mtu atakayehitaji ushauri wa kidaktari karibunii sana,ofisi ipo Tegeta azania ila tunafika popote ulipo.Tunahudumia...
0 Reactions
7 Replies
896 Views
Wapi naweza kupata Vindama vya mbuzi kama 20 na kwa bei gani? Nataka niweke shambani kwangu Mimi nipo dar.
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Ushauri wadau... Nahitaji Kulima Wilaya ya Kilosa, Naombeni Ushauri Wa maeneo yasiyo na mafuriko Uzi tayari..
4 Reactions
19 Replies
901 Views
Hii ndiyo inatokea pale ambapo ugonjwa unaingia kwenye banda kabla ya chanjo kufanyika. Ukiona dalili, mara nyingi huwa ni kuchelewa sana. Chukua mfano wa Ugonjwa wa Kideri (NewCastle) moja ya...
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Back
Top Bottom