Fred Katulanda
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 394
- 627
Ninamshukuru Mungu kwa kuibuka Mshindi wa Kwanza wa Wazalishaji na Wasindikaji Mazao ya Nyuki kwenye Maonesho ya Nanenane 2025 Kanda ya Ziwa Magharibi yaliyofanyika Nyamhongolo, Mwanza. Hakika kwangu ni hatua muhimu.
Hapa nikizungumza na Mkuu wa Wilaya Nyamagana ambaye alitembelea Nanenane nikitoa elimu ya uvunaji sumu ya nyuki