Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

✅ CHUPA ZA KUPULIZIA DAWA MABANDANI BEI 10,000/=Tsh Lita 4.5. (Offer) Tunauza sprayer bora na imara kwa ajili ya: ✔ Kupulizia dawa za kuua wadudu na kuzuia magonjwa ✔ Kunyunyizia maji mabandani...
1 Reactions
0 Replies
374 Views
Katika hekaheka za kujiandaa kustaafu miaka 7 baadae nimeamua nipande miche kama 500 yaani ekari 10 za maembe kisasa. Shamba lipo Tabora kwa sasa naendelea kuchimba mashimo. Nitapanda bila...
29 Reactions
123 Replies
11K Views
Je, unatumia Fuga App? Tunataka kujua uzoefu wako na jinsi tunaweza kuifanya bora zaidi kwa ajili yako. Jaza dodoso hili kwa dakika 2 tu na tusaidie kukupa huduma bora zaidi. 👉 [Utafiti wa...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Moja ya magonjwa mabaya zaidi yanayowakumba kuku. Ugonjwa huu huathiri ubongo na mfumo wa neva, na kusababisha dalili kama shingo kupinda , kutembea vibaya, kupumua kwa shida, na kushuka kwa...
1 Reactions
6 Replies
606 Views
Wakuu itifaki imezingatiwa. Kwa Wazoefu wa Kilimo Cha mahindi ,naomba kufahamu Sumu ya Kudhibiti Minyoo au funza wanaokula mahindi yakiwa hatua ya Mwanzo yaani mbegu Hadi wiki 2 "Seedcorn Maggot"...
0 Reactions
1 Replies
336 Views
Natumaini nyote hamjambo! Mie naitwa Kakuyu, naomba ushauri mahsusi kutoka kwa waliokwishafanya Kilimo cha Maembe na Minazi. Nina shamba lipo Kisarawe maeneo ya Masaki (Mji Mpya) lenye ukubwa wa...
2 Reactions
35 Replies
14K Views
Nataka niuze Mbuzi Arusha naweza kupata wateja? naomba mwongozo wale wazoefu wa biashara hii
4 Reactions
3 Replies
476 Views
guest-1787677467
Habari za jioni wana JF. Katika kutafuta fursa za kimaisha baada ya kustaafishwa rasmi na Trump 😃😄😁😀. Niliwasiliana na jamaa yangu mmoja ambaye naye amestaafishwa na Trump ambaye alikuwa...
9 Reactions
76 Replies
6K Views
Huu ugonjwa unaopelekea kuku kupinda shingo kuelekea kushoto au kulia husababishwa na nini? Pia nini tiba yake?
2 Reactions
18 Replies
10K Views
https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wafugaji wadogo sasa wanatumia mashine za kutoa manyoya ili kuokoa muda, kupunguza kazi ngumu na kudumisha usafi. 💡 Kutumbukiza kuku kwenye maji moto kisha kwenye mashine na mara moja, kuku yuko...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Nimewaacha kuku wangu wakiwa vizuri kabisa ile nimetoka kidogo nimekuta wamekufa wote sasa itakuwa nini wakuu??
1 Reactions
56 Replies
2K Views
Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa. Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
🟩 FAIDA ZA KUMKAUSHA NG’OMBE NA MUDA SAHIHI WA KUMKAUSHA 🐄 --- ✅ MUDA SAHIHI WA KUMKAUSHA Ng’ombe hukaushwa wiki 8 (siku 60) kabla ya kuzaa. Huu ni muda unaotosha kumpumzisha na kujiandaa kwa...
4 Reactions
9 Replies
841 Views
Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia...
25 Reactions
399 Replies
264K Views
Kama wafugaji tunataka: Pesa zaidi, stress kidogo. Muda zaidi, usumbufu kidogo. Uhuru zaidi, mashaka kidogo. Hapo ndipo Fuga App inapokusaidia. Inakusaidia kupanga gharama, kufuatilia ratiba...
1 Reactions
3 Replies
335 Views
Jamani habarini tena! Napenda kusaidiwa kwa wazoefu juu ya hili jambo, je eneo la robo ekari linatosha kwa kuanzia UFUGAJI WA NGURUWE.?
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Anonymous
Nianze kwa kupongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kweli mnastahili pongezi kubwa. Mimi nina ombi moja, ninaomba nisaidieni kuuliza swali kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe pamoja...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya Leo napenda kuwaletea kuhusu elimu ya kukata meno kwa nguruwe --- 📌 Elimu kwa Wafugaji – Faida za Kukata Meno kwa Nguruwe (Piglet) Karibu sana...
2 Reactions
2 Replies
573 Views
Unataka kufuga kwa faida kubwa lakini changamoto zimekuwa nyingi? 👉🏾 Chakula cha mifugo ni gharama, magonjwa yamekuwa kikwazo, au hujui ujenzi sahihi wa banda/bwawa? Sasa ni muda wa kubadilisha...
2 Reactions
13 Replies
679 Views
Back
Top Bottom