Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wakuu, Naomba muongozo kwa wenye uzoefu, Je,inaruhusiwa kusafirisha vijiti vya mihogo kiasi, Kutoka Tanzania kupeleka Zambia ,kama mbegu Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
278 Views
Heri ya Wiki Mpya yenye Mafanikio Wafugaji wa Kuku🎉 Fuga App inakusaidia kujua Faida na Hasara kwenye Shamba Lako la Kuku kiurahisi bila Kupiga hesabu nyingi za kukuchosha ili ujue wapi...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Hebu tuwe wakweli ni raha kushirikisha wenzako kitu kizuri unachokipenda! Sasa kupitia Fuga App , unaweza kupata zawadi kwa kuwaleta marafiki zako wafugaji kwenye Fuga App! Fuga App inawasaidia...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
🌞 Heri ya wiki mpya mfugaji! 🐔 Anza wiki hii kwa ubora zaidi ukitumia toleo jipya la Fuga App sasa ni rahisi zaidi kusimamia shamba lako, kufuatilia matumizi, uzito wa kuku na faida zako! 📲 Pakua...
2 Reactions
11 Replies
606 Views
Huwezi kuboresha usichopima! 💡 Moja ya changamoto kubwa kwa wafugaji wengi wa kuku ni kutokuweka kumbukumbu sahihi. Unanunua chakula kila wiki, unauza mayai kila siku, na unachoma chanjo mara kwa...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Huu hapa ni mchanganuo wa kulima ekari moja ya mahindi kwa sasa hivi 1. Kukodi shamba ekari 1 - 70,000/- 2. Kulima shamba mara 2 - 60,000/- 3. Mbegu pakiti 6 sawa kg 12 - 72,000/- 4. Kupanda...
24 Reactions
87 Replies
51K Views
Sio siri kwamba kilimo na Ufugaji unalipa, tena sana. Ila unalipa sana kwa watu wenye mitaji mikubwa na uzoefu, so kila kitu kinahitaji discipline na uthubutu. Ila ikiona mfugaji au mkulima...
0 Reactions
2 Replies
526 Views
🚀 Tulianza kutengeneza Fuga App tukiwa na lengo moja,kufanya ufugaji wa kuku kuwa rahisi,wa kisasa na wenye faida zaidi. Leo, tunafurahi kusema tupo hatua moja karibu zaidi na ndoto hiyo ila...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Nauliza tu! Kwa nini wageni ndio wanapanga bei ya kuuza maparachichi? Jirani zetu wananunua maparachichi kilo shillingi elfu mbili wanaenda kuweka label product of…. Hii ni dhambi kubwa sana...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
⭐Tunashukuru Sana kwa kutumia Fuga App!🎉 Kwa kila mfugaji, rafiki na mshirika ambaye amekuwa sehemu ya safari hii kwa kutumia au kuitangaza Fuga App - asante sana. Imani yenu, maoni yenu, na...
0 Reactions
2 Replies
275 Views
Anza Wiki Yako kwa Mafanikio,Tumia Fuga App kupunguza stress kwa kufuga kwa Uhakika,Punguza gharama kwa kuwapa Chakula kulingana na idadi na aina ya kuku, Kumbushwa Chanjo za Kila wiki,Fahamu...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Sisi tunalima mazao ya urith wetu, Mazao ya kuanza kuapangiwa mara usiuze mara uza, mara usiuze yote, mara Mkuu wa wilaya apiga marfuku kuuza Mahindi nje, mara Mkuu wa mkoa apiga marfuku kuuza...
30 Reactions
115 Replies
6K Views
Kama wewe ni Mfugaji Kuku ,Fuga App inakusaidia Kufuga kwa Uhakika kwa Kuepuka hasara zinzazotokana na Kulisha zaidi au kuwapunja Kuku,kwa kukupa ratiba ya Chakula kila siku. Simamia Shamba lako...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Hawa wadudu wadogo sana wansumbua na kuwananyonya damu ya kuku wako . Wanaficha kwenye nyufa za mbao na sehemu zisizo na mwanga , ila usiku ndio wanashambulia. Wanaongezeka haraka zaidi kwenye...
1 Reactions
0 Replies
424 Views
Fuga App inakusaidia kuacha kupoteza fedha, kufuga kuku wenye afya bora, na kugeuza ufugaji wako wa kuku kuwa biashara yenye kipato cha uhakika hata kama umewahi kupata changamoto hapo awali...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari za majukumu wadau wote, Ndugu zangu nina ushawishi mkubwa sana wa kutaka kulima zao la Shayiri kibiashara, hivyo basi naomba nifahamishwe mazingira halisi ya ukuaji wa zao hilo. Mimi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Unajua? Kuku wengi hupoteza uzito, kula sana lakini wasikue, na hata kufa — si kwa sababu ya chakula kibaya, bali kwa minyoo ya tumboni. Minyoo huishi tumboni mwa kuku Hula virutubisho vyote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mnada wa kwanza umesomwa na bei kama inavyoonekana
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Ghana is setting its sights on becoming the largest chicken producer in Africa within the next three years. Local farmers will be supported with day-old chicks, affordable feed, and modern...
2 Reactions
5 Replies
639 Views
Hii ndio weekend bna... kuku nao wanajua muda wa kupumzika! Kwa kutumia Fuga App, unaweza kudhibiti chakula, kumbukumbu na ratiba huku ukiendelea kustarehe. Pakua Leo Fuga App Playstore,uweze...
1 Reactions
2 Replies
652 Views
Back
Top Bottom