Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari zenu wana jukwaa poleni na harakati za mchana kutwa. Nahitaji kujua namna haya mahindi ya kutengeneza bisi yanavyolimwa. Hali ya hewa ya eneo, udongo ambao unarutubisha na mengine yote...
6 Reactions
16 Replies
747 Views
Nisha wahi kuja na post kuhusu haya matunda. Haya matunda yanalimwa comercialy na watu wa mbele hawa wanayapenda sana, Ni matunda tiba, Niliwahi leta uzi wake humu, coment zikawa ni kule kwetu...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
JF wasaalam 🙏 Kama unataka mali utaipata shambani. Nianze kuwaomba vijana na sio kuwashauri maana kama kushauriwa mmeshauriwa sana hadi basi lakini hambadiliki. Mimi nami ni kijana mwenye miaka...
78 Reactions
210 Replies
22K Views
Habari mdau wa kilimo! Je, umewahi kuskia semi maarufu ya "ukiitiwa fursa basi wewe ndio fursa" ama " dili limekua dirisha"? Semi hizi na zinginezo zimekua maarufu kutokana na tapeli mbalimbali...
5 Reactions
2 Replies
394 Views
Pia wafugaji ningeshauri utunzaji wa rekodi kwa ubora,Ni muda wa Kuachana na Madaftari Fuga App inakusaidia Kufuga Kisasa na inatumia bando kidogo kuliko Whatsapp Pakua Fuga App Leo,Ufurahie...
1 Reactions
2 Replies
321 Views
Wakulima na Washauri wa Kilimo, Salaam! Tukitaka kusonga mbele katika sekta hii ya kilimo inabidi tubadili utamaduni na mfumo mzima wa kilimo kwa kuwa kuendekeza njia za mapokeo imesababisha...
11 Reactions
27 Replies
3K Views
Nina swali wadau hapa Dodoma kuna kiwanda kikubwa sana cha mbolea kinaitwa Itracom ndo kiwanda kikubwa kwa Afrika Mashariki na kati na kinauza mbolea yake kwa sasa, Kenya, Burundi, Uganda na...
0 Reactions
3 Replies
356 Views
ndugu zangu baada ya kutafiti soko la bamia,nimeamua kufanya kilimo chake,nmepata shamba pembezoni mwa mto maeneo ya dakawa.sasa naomba kujua aina ya mbegu ambayo ni nzuri, magonjwa yanayosumbua...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Kuku wanahitaji takriban saa 14–16 za mwanga kila siku ili kudumisha uzalishaji bora wa mayai. Ikiwa mwanga ni hafifu au haupatikani kwa muda mrefu, uzalishaji wa mayai unaweza kushuka kwa kasi...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Hivi karibuni tulitoa andiko kwamba ukifuga ng'ombe wa maziwa mmoja tu, unaweza kupata kati ya TSh 600,000 hadi 900,000 kwa mwezi. Pia, tulieleza jinsi hii ilivyo fursa kubwa kwa watu wengi, hasa...
12 Reactions
68 Replies
5K Views
Habari wafugaji Leo napenda kuwaletea somo juu ya aina ya mbegu za ng'ombe wa maziwa.karibi sana uwe kujifunza ✅AINA ZA MBEGU ZA NG'OMBE WA MAZIWA; --- Breed za Ng’ombe wa Maziwa (Dairy Breeds)...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=GmJyilSz9i0&t=71s kuku anayeuzwa bei zaidi ya ng'ombe
0 Reactions
7 Replies
820 Views
  • Redirect
kuku anayeuzwa bei zaidi ya ng'ombe angalia kuku anayeuzwa bei kubwa
0 Reactions
Replies
Views
Habari ya leo ndungu zanguni, Jackson hapa. Naitaji ushauli ndugu zangu Hivi kati ya kujikita kwenye kilimo au kujikita kwenye kununua mazao kipi kinafaida kubwa? Na kipi kina risk kubwa? Kwa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu, niliagiza miche ya miembe toka Morogoro. Kwa kweli quality yake ilinitia mashaka. Shambani ni kama 70% ili-fail. Rafiki yangu akanishawishi niagize toka Nairobi. Kwa kusita nikaagiza. Hii...
3 Reactions
16 Replies
882 Views
Habari Nahitaji ngozi za ng'ombe , hata kama una mzigo wa tani laki moja , nachukua Nipigie 0616274277
0 Reactions
2 Replies
477 Views
Wafugaji wa kuku Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako. ✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku Mdharau asili hufa masikini
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Leo, tunasherehekea na kuwaheshimu wakulima wote wanaofanya kazi kwa bidii ambao huamka kila siku kulisha taifa letu na kulinda mustakabali wetu. Ninyi ndio msingi wa usalama wa chakula, mashujaa...
0 Reactions
7 Replies
421 Views
||| Mpango wa Outgrower hujulikana pia kama mipango ya wakulima washirika ni mpango wa kilimo ambapo wakulima wadogo wanaingia kwenye makubaliano ya mkataba na kampuni kubwa ya biashara au...
0 Reactions
2 Replies
530 Views
Back
Top Bottom