Ukweli Mgumu Kuhusu Ufugaji wa Kuku

Ukweli Mgumu Kuhusu Ufugaji wa Kuku

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
209
Reaction score
247


Hii ndiyo inatokea pale ambapo ugonjwa unaingia kwenye banda kabla ya chanjo kufanyika.
Ukiona dalili, mara nyingi huwa ni kuchelewa sana.

Chukua mfano wa Ugonjwa wa Kideri (NewCastle) moja ya magonjwa hatari zaidi ya kuku hapa Tanzania. Unaweza kupoteza hadi 90% ya kuku wako ndani ya siku chache kama hawajachanjwa mapema.

Kinga ni nafuu kuliko tiba.

Chanja kwa wakati.

Fuata ratiba ya chanjo.

Linda kuku wako kabla ugonjwa haujafika.
 
Back
Top Bottom