Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wanajanvi Salaam, Ni matumaini yangu wanajanvi mko wazima na mnaendelea na harakati za upambanaji wa kutafuta mkate wa familia. Napenda kuleta mlejesho wangu kuhusu safari yangu ya kwenda Mpanda...
58 Reactions
503 Replies
77K Views
Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika kujua pa kuanzia, bila...
4 Reactions
4 Replies
459 Views
Mwezi wa 12 ni zaidi ya sherehe na mapumziko. Kwa mkulima na mfugaji mwenye maono, huu ni mwezi wa kufanya maandalizi muhimu kabla ya kufunga mwaka na kuweka msingi imara wa mafanikio ya msimu...
1 Reactions
2 Replies
235 Views
MASHINE YA KUKATIA NYASI NA MASHINE YA KUPALILIA MASHAMBA | BRUSH CUTTER MACHINE Call/Text/WhatsApp: +255 762 212623 Bei za hii BRUSH CUTTER MACHINE. 📌FOUR STROKE Kubwa: 700,000Tsh - Ya mgongoni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tulipoanza kutengeneza Fuga App, hatukutaka kubahatisha kile wafugaji wanahitaji. Ndiyo maana ndani ya app tumeweka kitu rahisi sana. Kama kitu kinakusaidia, tuambie. Kama kuna sehemu...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Usiku wa kuamkia leo siafu wamevamia shambani kwangu na kuua vifaranga vya wiki tatu 56 na vya miezi miwili na nusu 31 vilivyokuwa kwenye banda maalum la kukuzia Kwa wenye uzoefu nifanye nini...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Tofauti ni mbinu tu, si muujiza! Wakulima wengi wa mpunga hapa Tanzania huvuna gunia chache sana kwa ekari – na kwa bahati mbaya, wengi huamini kuwa hilo ni jambo la kawaida. Lakini je, unajua...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Anza Wiki Kwa Ushindi Ukiwa na Fuga App unaweza kusimamia Shamba lako la kuku kwa urahisi,utapata Ratiba ya Chakula ya Kila siku kulingana na umri , idadi na aina ya Kuku Calculator...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Kauli kama hiyo inaonyesha mtazamo wa utawala wa mabavu badala ya utawala wa sheria na haki. Huu ni mtazamo wa hofu, ukandamizaji, na ukosefu wa majadiliano ya kidemokrasia. Tuchambue kwa kina: 1...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Wafugaji wamekuwa wakituomba sehemu moja ya kujifunza mambo muhimu ya ufugaji wa kukuna hatimaye imefika! JIFUNZE ni kipengele kipya ndani ya Fuga App kinachokupa maarifa ya uhakika kuhusu...
2 Reactions
3 Replies
378 Views
Habari zenu wajameni, Nahitaji msaada kujua aina ya miti inayokua kwa muda mfupi, yenye kivuli kizuri na show nzuri. Iwe environmental friendly, Yasiwemakazi ya wadudu. nmekua curious...
5 Reactions
131 Replies
50K Views
Wakuu ninauliza kama kuna yeyote anaifahamu kampuni au mtu anayetoa huduma ya kuuza vitu ambavyo vinekwisha tengenezwa ili viweze kuchanganywa kwenye vyakula vya mifugo.Vitu ambavyo ninavihitaji...
3 Reactions
17 Replies
930 Views
MASHINE YA MAYAI 30 IPO KWENYE OFFER KILA MTU APATE BEI NI 150,000/=TSH. ZIPO PC 100 TU. KARIBUNI TUPO DAR ES SALAAM TEGETA KWA NDEVU DARAJANI NJIA YA KWENDA JESHINI. WATEJA WA MIKOANI...
1 Reactions
1 Replies
622 Views
HABARI NJEMA KWA WAKULIMA. Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao. Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Kwa sasa, ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ni moja ya miradi inayoshika kasi zaidi Tanzania. Kila siku tubapokea simu kutoka kwa watu binafsi, taasisi, makanisa, wastaafu na vijana wanaotaka kuanza —...
1 Reactions
5 Replies
662 Views
Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku? Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Heri ya Wiki Mpya Wafugaji Wapambanaji Unapoanza wiki hii, Fuga App ipo kukusaidia kufanya ufugaji wako uwe rahisi na wenye faida zaidi! Makadirio ya Gharama: Jua kwa usahihi kiasi cha mtaji...
1 Reactions
0 Replies
480 Views
Hizi ni kingo za Mto Mara (Rorya). Ukiupita Mto Mara hutajua kuwa unaweza kuua bustani ya mtu. Huu weupe ni Chumvi. Chumvi hii inabebwa na mto toka unakoanzia hadi ziwa Victoria. Kutumia maji haya...
2 Reactions
5 Replies
757 Views
Habari yakO Mfugaji na mdau. Niko hapa kukupa elimi na ukweli juu ya Ufugaji kuku, achana na zile story za madaktari wa SUA wanaomaliza na degree zao na hawajafanya mazoezi au practical, ukija...
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom