Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wadau tunakaribia msimu wa mavuno ya zao la muhogo kwa wingi hasa kutoka mikoa ya kusini mwa Tanzania na baadhi tayari wameanza kuvuna. Soko la zao hili limekuwa halina uhakika sana kutokana na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nataka kuanza kilimo mkoani morogoro, vipi upatikanaji wa vifaa vya kilimo kwa anaejua anifahamishe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anajua namna ya kulima saffron na upatikanaji wa bulbs (mbegu) zake atupe hii elimu. Nimejaribu kutafuta mtandaoni naona kama ni hii kitu inaweza kututoa kwenye umasikini...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nimepitia sera ya Kilimo hapa nchini. Ni sera nzuri na sera nzuri kuliko sera zote.Kilimo ukifundishwa darasani ni kizuri.Lakini practically ni kazi ngumu. Kinataka tija na ujuzi pia mtaji kwa...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Habar wanajamvi, mimi ni muajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali na pia najishughulisha na kilimo cha machungwa na mahindi na pia ni mfugaji wa kuku wa kienyeji chotara aina ya kuroiler...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Mipapai yangu haizai wanasema ya kiume, nifanye nini ili yawe ya kike? Naombeni mchango wa kitaalamu.
0 Reactions
12 Replies
19K Views
Habari ya saa hii jameni,nimeona papa wa urefu kama futa tatu na ushee akiuzwa kwa soko ya samaki. Swali nataka uliza:papa analiwa? Because once nilipata kusikia wako wenye sumu hawafai kwa...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari wakuu Naomba msaada kujua juu ya water pump hizi zinazotumia mafuta, Je zina uwezo wa kuvuta maji kisima cha futi 50? Na kama zinaweza ipi pump bora zaidi Karibuni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
VITU VYA KUZINGATIA KATIKA UKATAJI MIDOMO YA KUKU (DEBEAKING) ★ Utangulizi Ukataji wa midomo ya kuku ni mojawapo wa majukumu ya kawaida kwa mfugaji na huusisha kuondolewa kwa ncha kali ya mdomo...
1 Reactions
2 Replies
50K Views
Habari wapendwa.... Mimi nipo morogoro, ni Dada mwenye uchungu sana na maisha na nahitaji maendeleo kwa njia yoyote iliyo halali! na moja ya njia hizo ni kilimo! nimeshawahi kujishughulisha Sana...
5 Reactions
75 Replies
13K Views
Wandugu naomba mnisaidie kutoa ushuhuda hapa kwa aliewahi kutumia hizo mbolea hapo juu. Mimi nimetumia kwenye mahindi ni wiki ya 3 sasa sioni mabadiliko ninachokiona ni mahindi yanazidi kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vijana wengi wa Tanzania tuna shida kubwa katika bongo zetu. Tumegeuka kuwa jamii ya kulaumu na kulalamika badala ya kuchukua hatua.Tunapenda urahisi. Tunasahau kuwa zama zimebadilika...
6 Reactions
16 Replies
7K Views
Habari wana JF....samahani naombeni ushauri nahitaji kufanya ishu yakupannda ile miti yambao..samahani naombeni ushauri wenu maeneo gani yanafaa na miti haina gani inaota haraka na nikianza na...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Salaam, Huu ni msimo wa kilimo hapa nchini kwa wakulima wakubwa na wadogo. Serikali kupitia viongozi wake wakuu imekuwa ikihamisha utumiaji wa mbolea na uanzishwaji wa viwanda vya kutengeneza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
wadau nailikuwa nauliza hatua zipi inapaswa kupitia ili pombe nayotaka itengeneza ikubaliwe na serikali kuwa si haramu nataka tengeneza pombe aina ya spirit iwe katika mfumo wa viroba
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wadau,mimi ni mfugaji mchanga wa kuku,nimekuja kwenu kama njia ya kujifunza kutokana na changamoto nilikutana hayo,natumaini humu kutakuwa na magwiji kwenye hii fani ya ufugaji kuku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwana jf ,karibu katika fursa kubwa ya kilimo chenye tija. Ni kilimo cha kisasa kijulikanacho kama vijiji biashara, ni chini ya ujio wa kampuni liitwalo Namaingo Bussness Agency ambapo utasaidiwa...
0 Reactions
69 Replies
16K Views
Mimi ni mjasiriamali mdogo, nimebahatika kupata mtaji ambao nimeona nifungue kiwanda kidogo cha kutengeneza mafuta ya alizeti. Sasa naomba wenye uzoefu na machine za kukamulia alizeti, bei ya...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…