Mimi niliwahi wafuata hawa watu wakanipa mpaka vipeperushi na muhudumu niliyemkuta alionekana hajajipanga nilipokua namuattack na maswali..ila hata hcho kipeperushi waliniuzia kwa shilingi 1000 na nilianza kuwaamini lakini nilishtushwa nilipoambiwa mrejesho wa faida kwa hesabu zangu za haraka hazipungui milioni 60 yani 60,000,000 na hapo hapo kwa hyo laki saba uliyo toa wanaahidi kukupa hekari nne huko rufiji zenye nyumba na mabanda yaliyojengwa tayari kwa hyo laki7 yako pia kuna mashirika makubwa ya kijamii wanadai wanaubia nayo kama pspf,NHIF, NSSF Kuwa eti ndo wanajenga hzo nyumba wa watu ambao wamesha fanya projection watu 2000 watakao toka kila kaya nikajiulizaaaaaa...nikasema ngoja ipo siku nitaujua ukweli