UNAIWEKEA MBELEKO.CHUKUA GUNZI LA MAHINDI/MHINDI NA KAMBA YA MTI(YA MGOMBA )IBEBESHE, YAANI FUNGIA HILO GUNZI KWENYE MPAPAI KWA KUTUMIA HIYO KAMBA YA MGOMBA ALAFU UTANIAMBIA.Salamu nyingi sana kwenu,
Wapendwa kwa wale wenye uzoefu na elimu ya matunda ya mipapai. Nimeotesha mipapai nyumbani kwangu kama miti 20 hivi ya kuanzia, ila kwa sasa miti kama sita imeshakuwa mikubwa ila cha kushangaza yote inaonekana kuwa madume. Imetoa maua tu badala ya mipapai
Je kuna jinsi ya kuweza kutambua mti wa mpapai (miche) kama ni mizuri inayofaa kuotesha kabla ya kuzaa...maana hii kitu imenisumbua sana.
Tafadhali wataalamu naomba muweke point hapa..Kama mtu hana uhakika unaweza kukaa kimya inakuwa busara zaidi.
Mkuu hi technoligia ya wapi. Is there any scientific connection with Gunzi. Kuna pollen au fertilization movement ya kutoka kwanye gunzi na mpapai..Rahisi tu mjomba chukua gunzi na kamba funga
Interesting...Is it a must kuwa na kamba ya mgomba...au hata ya katani itafaaUNAIWEKEA MBELEKO.CHUKUA GUNZI LA MAHINDI/MHINDI NA KAMBA YA MTI(YA MGOMBA )IBEBESHE, YAANI FUNGIA HILO GUNZI KWENYE MPAPAI KWA KUTUMIA HIYO KAMBA YA MGOMBA ALAFU UTANIAMBIA.
hiyo ni kweli kabisa. mkuuInteresting...Is it a must kuwa na kamba ya mgomba...au hata ya katani itafaa
Interesting...Is it a must kuwa na kamba ya mgomba...au hata ya katani itafaa