Msaada kwa aliyewahi kutumia mbolea ya DI nyekundu au ya kijani!!

molwe

JF-Expert Member
Jan 10, 2015
401
416
Wandugu naomba mnisaidie kutoa ushuhuda hapa kwa aliewahi kutumia hizo mbolea hapo juu. Mimi nimetumia kwenye mahindi ni wiki ya 3 sasa sioni mabadiliko ninachokiona ni mahindi yanazidi kuwa njaanooo¡!
 
Nimeweka mbolea mahindi yakiwa na mwezi mmoja
 
Back
Top Bottom