MSAADA: Mchanganuo wa laki tano 500,000/= katika ufugaji wa kuku wa kienyeji.

wajuvi si mchangie mada au mpk tutiane kwenye viroba vya tanga cement
 
Ipo hivi andaaa madabanda yatakayo galim kama 100 000

Kisha andaa chakula kitakacho galimu
80000

Kisha andaaa vifaa vya kuwalishia vitakavyo galimu 30000

Bahada ya hapo tafuta sehemu yenye kuku wenye mbegu nzuli Anzia na kuku 20 pia inategemea na thamani ya kuku

Bahada ya hapo andaa dawa kwa ajili ya kuwakinga na maradhi mbalimbali

Asante naomba niishie hapo
 
Fesibuku wapo wengi mno sana wasechi huwa wanasemina zao ila viingilio vya kutosha
 
Mkuu nanda magu utapata Kuku mkubwa anayekaribia kutaga kwa 3000.
Jogoo mkubwa 8500
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Habari?
Wanajamvi,nimenunua mashine ya kutotolesha vifaranga hivyo napata changamoto ya malighafi yaan MAYAI. Hivyo nanunua mayai YA KIENYEJI yawe yanatokana na kuku halisi wa KIENYEJI.
Mwenye nayo au anaemjua supplier yeyote anayeweza niuzia mayai 500 kila mwezi kwa miezi 4 tuwasiliane PM kwa makubaliano ya bei na mengineyo.
Mimi napatikana Mbeya na vizuri kama supplier atakuwa mbeya na maeneo ya jirani yaan sumbawanga,tunduma,songwe,mbalali,makambako,njombe,iringa,na morogoro
Asanteni!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom