Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,493
- 2,366
Kama kuna mtu anajua namna ya kulima saffron na upatikanaji wa bulbs (mbegu) zake atupe hii elimu. Nimejaribu kutafuta mtandaoni naona kama ni hii kitu inaweza kututoa kwenye umasikini.
Naunganisha na hizi uzi
Kilimo cha Saffron Tanzania
Bulb/ mbegu za zafarani
Naunganisha na hizi uzi
Kilimo cha Saffron Tanzania
Bulb/ mbegu za zafarani