Kwa kuanzia Serikali na Benki ya Kilimo iwapatie wanavijiji matrekta ya bure au ya mkopo ili kubadilisha kilimo chao cha jembe la mkono. Sasa hivi wanavijiji wamehamasika kulima kwa matrekta...
Jamani wanajukwaa I hope mko poa, nauliza Kama kwa kipindi hiki cha mwezi wa saba mpaka wa nane, Kama ntaweza kupata ufuta wa kununua takribani Tani 1000
Wakuuu. Ninampango wa kulima hekar 1 ya hoho. Nimejaribu kupanda miche 500 kwa mara ya kwanza mavuno yalikuwa mazur na mengi. Nikajaribu tena kwa mara ya pili kutumia hybrid seeds (Tycoon)...
Nilinunua pakiti ya gm1 ya malikia na kuipanda mwaka jana. Mipapai imeanza kuzaa ila cha kushangaza ni kuwa matunda ni tofauti.
Mbegu ya malkia imechorwa papai lefu nami nilitegemea matunda...
Nimeaza kufuga kuku wanyama kwa Mara ya kwanza lakini naona maendeleo ya ukuwaji WAke sio mbaya wanakua kwa kasi Sana ila kunakitu kinanipa mawazo Sana ila kuna kuku mmoja nimemkagua nikakuta Kama...
Habari ya majukumu kaka na dada zangu. Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji 11 (matetea 10 na jogoo 1). Lengo la kuandika thread hii ni kuomba mnisaidie ratio ya chakula kwa hawa kuku 11. Je per...
Ripoti nzito nitaileta kwenu,dhidi ya ubadhirifu wa zaidi ya bilioni 5 km mkopo kutoka TIB kwenda kwa wakulima wa mkoa wa morogoro
Ila kwa ufupi niwajuze tu kuwa ni mwezi sasa tangu niingie...
Mimi nipo kwenye huu mkoa wa Morogoro,mkoa uliobarikiwa kuwa na ardhi yenye rutuba inayokubali kila aina ya zao.Kwa kiasi kikubwa mazao mengi sana yanastawi,kuanzia...
Habari zenu,
Nimeona wengi tulio mijini tunapenda Kilimo na tunatamani sana kujishughulisha na kilimo. Wengine wamefanikiwa hadi kukodisha au hata kununua Mashamba. Lakini wanaishi mjini badala...
SUMU NA HUDUMA YA KWANZA KWA MBWA ALIEPEWA SUMU
★ UTANGULIZI
Sumu ni kitu chochote hatarishi katika mwili wa mnyama na binadamu vilevile.
Kwa kawaida mbwa huwa wanatabia ya udadisi na udadisi...
Salam wana jamvi naombeni ushauri wapi ninaweza kupata soko la kuuzia mahindi mabichi. Nipo mkoa wa pwani wilaya ya rufiji nataka kuanza kilimo cha mahindi ila cjui wapi naweza kupata soko na bei...
Strawberry (fukasidi) hustawi katika maeneo yenye joto la wastani, na hukua kwa haraka zaidi na uzalishaji kuongezeka linapolimwa kisasa zaidi, Hasa katika Green house. Zao hili hukua vizuri...
Salamu wadau
Mimi ni miongoni mwa wakulima wa vitunguu na mboga mboga tunaotumia maji ya Mto Ruvu, wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Tokea wiki iliyopita kumekuwa na Mafuriko ya maji ya mto, kiasi...
Wadau habari zenu,
Naomba wanaojua kilimo bora cha mboga ya tembele wanisaidie. Hatua zote na hadi kupata tembele zuri lenye afya
Shamba lipo na maji yapo karibu pia ya uhakika.
Asante
Habari waungwana.
natamani sana kuingia kwenye kilimo hasa cha matunda kama apple lakina nashidwa kujua kiutaram ni mazingira gan yanakubari na uoteshaji wake upoje,
aksanteni sana, KARIBUNI KWA...
Ninaye ng'ombe aliyezaa hivi karibuni , yapata wiki sasa tatizo nilipoanza kukamua maziwa yanakuwa yamechanganyika na Damu kiasi nni tatizo na tiba yake?
Heshima kwenu mabibi na mabwana,kuroiler ni aina ya kuku chotara ambao wanasifa za kienyeji kwa kiasi fulani na sifa za kuku wa kisasa kiasi fulani hasa kwenye rangi ya mayai hata wakati mwingine...