Msaada: Kuku WanaChechemea Mguu Mmoja.

sumu-ya-panya

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
632
571
Habari wanajamii wafugaji wa kuku wa kienyeji,

Nimepata dharura baada ya kuku wangu kuwaona wakichechemea,kutokana na kuku hao kufugwa suria na mahali wapo pana pitapitaza watu,mifugo. yupo kuku mmoja alikua akichechemea kwa muda muda baadae akaacha kuchechemea,mwingine akachechemea nae kwa muda mrefu anachechemea, na sasa naona mwingine anachechemea. naomba msaada.
kwa anaefahamu
 
nimekua nikiwapa pumba niliyochanganya na uduvi,majani,kabichi mabaki ya chakula ugali,wali,mifupa ya samaki,
Mkuu leta namba yako ya Whatssp nikuadd kwenye group letu la ufugaji wa kisasa utapata ushauri kutoka kwa wadau humo.
Group hilo lilianzia humu
 
Back
Top Bottom