Jenseny
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 1,743
- 1,732
Nikiwa mkulima mchanga wa tikiti nimejifunza vitu vingi ambavyo naona leo si vibaya nikashare kwenu
1.Uchawi
amini usiamini uchawi upo kwenye kilimo nimeamini hivyo baaada ya wakulima wenzangu kama wanne kunihadithia jinsi walivyopata hasara kwa kudharau kulinda shamba au kutumia dawa ya kupandia
sijawahi kuroga lakini kwa sababu nimeinvest hela kubwa nlienda kwa mganga kwa mara ya kwanza ili hela yangu irudi ikibid hata na faida
Shamba
nlilipa hela ya heka nne lakini juzi amekuja bwana shamba kunitembelea akanishauri kabla sijalipia shamba nilipime na kweli tulipopima ikatoka heka 3 na robo
nlijifunza kitu kikubwa sana kuhusu umuhimu wa kupima shamba
Wafanyakazi
Kama utalimia maeneo ya pwani usiajiri wazaramo au watu wa pwani/wenyeji tafuta wasukuma waha wanyalu au watu wa mikoa ya kaskazini nimeajiri wazaramo wawili na wasukuma wawili yaani wazaramo ni wavivu kuliko maelezo kila mara wanaumwa siku ukienda bila kuwataarifu huwakuti
Mbolea ya samadi ni bora lakini ina wadudu wengi wanaoshbulia mazao au mnyauko
upande mmoja ambao nimeweka mbolea nyingi ya samadi mazao yamenyauka sana kuliko nlipo weka mbolea kiasi