Msaada wenu kwangu ni muhimu sana

khadija mandingo

Senior Member
Apr 9, 2018
153
225
habari za mida marafiki natumini ni wazima bc tumshuru mungu na hatujalie afya nzuri.

Masada wenu

mim ni mkulima mdogo wa mboga mboga nina muda wa mwaka mmoja sas nataka kulima nyanya mungu akijalia ila cjui A wala B nina shamba eka 1 sehemu nzuri tu maji ya kutosha

Muongozo wenu

jinsi ya kuandaa kitalu nakina chukuwa siku ngapi.

mbelea gani zinazo faa kuanza hadi kumaliza kuvuna.

madawa gani niwenayo ili likitokea jambo niwe haraka kutibu

na kingine naomba mchanganuo wa bajeti mzima

..................... asateni na karibuni wajuzi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom