Kumfanyia mbwa Castration (kumtoa mbegu) inasaidia mbwa kuwa mkali au ndio atakuwa mpole akiona mbwa wengi.
Mwenye kujua na ambaye kashamuona mbwa mwenye kuasiwa anakuwaje?
Msaada please
Nanunua ngozi mbichi za Mbuzi au Kondoo zilizotunzwa kwa kupakwa chumvi (Wet Salted) kuanzia ngozi 10,000 na kuendelea tafadhali tuwasiliane kwa simu namba 0659890000 au uni-PM. Ngozi zisiwe na...
Wadau samahani, naomba kujua wapi au nani anaweza kujua kama kuna uhitaji wa ngozi za mbuzi, ninashehena ya kutosha sana, kama kuna mdau anajua lolote plz call 0652036191
Ndugu wadau napenda kujifunza kutoka kwenu kwa wale wenye kujua vizuli kuhusu biashara ya ngozi na soko lake.
Nataka kujua uitaji wake gharama ya manunuzi na gharama ya sokoni.
Na je! soko kuu...
Habari wana jf, naombeni msaada, Nataka nlime kabichi mwezi wa febr, ila tatzo cna wenyeji wa kupata shamba nahtaji nus hecta ya kukodi. Maeneo ya kisarawe au chanika na pia hata mkoa wa morogoro...
Habari za leo ndugu zangu.
Nahitaji eneo lenye miundombinu ya mabanda ya kufugia kuku nikodi/ nipange kwa maelewano na mwenye eneo husika.
Likipatikana eneo lenye uzio nje ya Mji itapendeza...
Habari?
Je Kati ya kampuni hizo naomba msaada ipi ni kampuni yenye vifaranga Bora vya kuku wanyama na mayai.
Nataraji kuingia kwenye iyo biashara hivi karibuni.
Asante
*Utangulizi*
Kampuni ya *Kinasoru East Africa (T) Ltd* inakuletea semina kubwa na ya aina yake ya *Mkulima Tajiri.* *Mkulima Tajiri* ni mfululizo wa semina zinalenga kutoa elimu na mwamko mpya wa...
Habari za jioni wanajamvi.
Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi au anayejua namna ya ufugaji wa samaki. Upatikanaji wa mbegu, uchimbaji wa kisima, chakula, muda wa kuvuna toka kupanda na namna ya...
Makundi ya Tembo yamevamia katika baadhi ya vijiji vya kata ya Lubungo wilayani Mvomero kijiji cha vianzi kitongoji cha Menge mkoani Morogoro na kuharibu mazao kwa mara nyingine tena.
Mmoja wa...
Baada ya mvua kuchekewa kunyesha, shamba nililokuwa nikilima mahindi nimeona bora nilime mbaazi. Lakini hiki kilimo kwa kweli sina uzoefu nacho. Nimeamua kulima mbaazi baada ya kugundua zina uwezo...
naona serikali ingeruhusu watu wafuge baadhi ya wanyama wa porini ingekuwa poa sana. aina za nyama zingeongezeka na kipato kuongezeka. tungeongeza pesa za kigeni maana tungekuwa tunatoa nyama...
Heri ya mwaka mpya wana JF.
Kuna tatizo kubwa sana lipo mtaani hasa huko vijijini kwa wakulima na mijini kwa walaji wa mazao ya mbogamboga kama nyanya na matunda ya matikiti na matango.
Tatizo...
Vyakula mbadala hasa wadudu ndo wanaaminika wanaweza saidia kupunguza balaa linalo nyemelea Dunia kwa sasa.
Ninavyo zungumzia wadudu nazungum,ia Edible insect. Hawa ni wadudu wazuri kwa ajili ya...
Naomba nitoe ushuhuda kidogo.
Mimi ni moja ya watu ambao najaribu kuwekeza kwenye kilimo ila naleta ushuhuda ili liwe somo kwa serikali na wananchi kwa ujumla.
Maka jana nililima ekari 20 za...
Ajira zimekuwa ngumu sana,nahitaji vijana 10 wa jinsia tofauti tufanye kilimo cha mahindi,eneo nimeshapata ekari 50 kinachohitaji ni hao vijana 10 kwa ajili ya nguvu kazi ,kununua mbegu,mbolea na...
Habari za weekend wanajamvi.
Wakuu naombeni ushauri wa mbegu bora ya nyanya ya kisasa inayostahimili wakati wa masika na bei yake. Naomba kuzijua mbegu zinazozaa vizuri wakati huo na...
Nilikuwa nauliza anayejua aina za dawa za
- Kunywesha na sindano kwa ng'ombe
- Mwenye minyoo
Ambaye unampa kinga ya minyoo
Aina ya minyoo inayoshambulia ng'ombe
Majina ya dawa ikiwezekana na bei...