Biashara ya ngozi

Babaanyi

Senior Member
Aug 10, 2012
114
41
Wadau samahani, naomba kujua wapi au nani anaweza kujua kama kuna uhitaji wa ngozi za mbuzi, ninashehena ya kutosha sana, kama kuna mdau anajua lolote plz call 0652036191
 
Wadau samahani, naomba kujua wapi au nani anaweza kujua kama kuna uhitaji wa ngozi za mbuzi, ninashehena ya kutosha sana, kama kuna mdau anajua lolote plz call 0652036191

Takutafuta zipo tani ngapi? Takupm
 
vipi wadau ninauwezo wa kukusanya ngozi za mbuzi kwa wingi ila soko sijajua nijulisheni namba yangu ni 0624077498 au 0764103725
 
Hata Mimi nina uwezo kukusanya ngozi nyingi kwani kuna mdogo wangu anajishughulisha na ufugaji huko mwanza amekuwa akiniuliza na kuniomba tutafute solo, shida sijajua pa kuanzia nimejaribu kusoma kitabu kimoja kinaeleza namna kuandaa ngozi yenye ubora umakini unahitajika.
 
Pia Nina interest ya kuwa na kiwanda kidogo cha viatu hasa sendo za kimasai nafuta mwenyewe udhoefu tufungue kiwanda kidogo.
 
Back
Top Bottom