Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,410
- 14,971
Baada ya mvua kuchekewa kunyesha, shamba nililokuwa nikilima mahindi nimeona bora nilime mbaazi. Lakini hiki kilimo kwa kweli sina uzoefu nacho. Nimeamua kulima mbaazi baada ya kugundua zina uwezo wa kuvumilia ukame kuliko mahindi.
Sasa hapa nilikuwa naomba ushauri na jinsi ya kupanda kitaalam. Nimejaribu kupitia baadhi ya site lakini sikupata nilichokuwa nikikitegemea. Nimeona bora nije hapa sababu humu kuna wataalam wa kilimo.
Vp kuhusu soko?
Ni aina gani ya mbegu inayofaa maaana nimeambiwa kuwa zipo zinazokuwa ndefu na nyingine zinakuwa za wastani.
Natanguliza shukrani