Kumhasi mbwa (Castration)

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
7,693
7,357
Kumfanyia mbwa Castration (kumtoa mbegu) inasaidia mbwa kuwa mkali au ndio atakuwa mpole akiona mbwa wengi.

Mwenye kujua na ambaye kashamuona mbwa mwenye kuasiwa anakuwaje?

Msaada please
 
Kumhasi mbwa hufanywa kwaajili ya kumzuia asitoketoke nyumbani kwenda mitaani kutafuta majike,Upande wa ukali sina uzoefu.
 
Mimi Naamini kiumbe bora ni kile ambacho hakiwazi ngono kabisa, Africa tupo hapa kwa ajili ya kuendekeza chini sana hata ww usipokuwa utumwa wa ngono utapga hatua sana , Fanya sex kwa ajili ya kuzaliana sio starehe
 
cf8af1005a4bec4caf0e0e87929cbfcd.jpg
b4e79eb6859c74cacb944ab80dabbce3.jpg
 
Mbwa alohasiwa huwa na afya nzuri.
Enzi hizo kabla somo la agriculture halijafutwa mashuleni tulifundishwa kuwa castrated animal ana sifa zifuatazo:
~Msikivu na mwenye kufundishika ndo mana ng'ombe wa kulima huhasiwa.
~Huwa na afya nzuri
~Huwa na nguvu
~Docile/mpole ila kwa mbwa hii siyo sifa nzuri ingawa sifa ya kufundishika itambeba, unaweza kumfundisha ulinzi.
 
Nimepata elimu kupitia somo hilo la kuhasi m'mbwa,kwa mwenye elimu anijuze,nitafanyaje
m'mbwa jike asizae?'nitashukuru kama nitapata majibu
 
Nimepata elimu kupitia somo hilo la kuhasi m'mbwa,kwa mwenye elimu anijuze,nitafanyaje
m'mbwa jike asizae?'nitashukuru kama nitapata majibu

Anafanyiwa operation ya kutoa tumbo la uzazi (Uterus) pamoja na kutoa mifuko ya kutotolea mayai (Ovaries).

Ni vizuri kumtoa ovaries ili asiwe anaingia kabisa kwenye mbaramwezi na asiwe anatoa kile kiharufu kama cha "bakery ndogo" ambacho ndo huwa kivutio kikubwa kwa madume yasiyo hasiwa.
 
Kuwa makini kwenye uhasiji mbwa. Huwa wanapatwa na maradhi yakiwemo Cancer na hivyo hufa baada ya kuugua kwa muda mrefu kidogo.

Mfano, nina uncle wangu alifanya hivyo na mbwa wake mzuri aliyekuwa anampenda sana akafa! Napendekesha usihasi mbwa. Ni maumivu sana kwake pia.

Imagine ungehasiwa wewe!.. Feel the pain and give relief to the Dog. Unachoweza kufanya ni kumfunguia pale panapokuwa na jike linalopandwa kitaa...
 
Anafanyiwa operation ya kutoa tumbo la uzazi (Uterus) pamoja na kutoa mifuko ya kutotolea mayai (Ovaries).

Ni vizuri kumtoa ovaries ili asiwe anaingia kabisa kwenye mbaramwezi na asiwe anatoa kile kiharufu kama cha "bakery ndogo" ambacho ndo huwa kivutio kikubwa kwa madume yasiyo hasiwa.
eti kiarufu cha bakery. Ni kwa nini sisi binadamu hatuwezi kukihisi( smell)
 
Mimi Naamini kiumbe bora ni kile ambacho hakiwazi ngono kabisa, Africa tupo hapa kwa ajili ya kuendekeza chini sana hata ww usipokuwa utumwa wa ngono utapga hatua sana , Fanya sex kwa ajili ya kuzaliana sio starehe
Hizo ni akili za wanyam wengine tu ila binadam na dolphne , na madume ya wanyama wengine sexy ni starehe
 
Back
Top Bottom